Mastaa KIbao Wamkumbuka Lulu Siku Ya Birthday Yake

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Siku ya jana ilikuwa ni sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Muigizaji wa Bongo movie Elizabeth Michael 'Lulu' na mastaa kibao walimkimbuka kwa kumposti Kwenye mitandao ya kijamii. Lulu alisheherekea siku yake akiwa gerezani ambako anatumikia kifungo chake cha miaka miwili baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa mpenzi wake movie star Steven Kanumba. Mastaa kibao kama Kajala,  Wema, Aunty Ezekiel na wengine wamejitokeza na kumtakia birthday njema: 1. Wema Sepetu 2. Aunty Ezekiel 3. Shamsa Ford 4. Kajala Masanja 5. Lulu Diva 6.  Millard Ayo   The po...

ZINAZOENDANA

Idris Ajitokeza Kuunga Mkono Maandamano ya Amani.

Kumekuwa na uhamasishaji wa maandamano katika mitandao huku waanzilishi wakiwa wanasema kuwa mandamo ...

Wema Awatolea Povu Wanaomsema "Mi ndo Tz Sweetheart Bana Mpende Msipende ndo Nshakuwa Sasa"

Mwanadada maarufu nchini Tanzania  ambaye ni muigizaji wa movie za kibongo Wema Sepetu leo ameam...

Monalisa aelezea 'bifu' la Wema na Riyama Halijaanza kwenye Tuzo

Baada ya tuzo zile za  SZIFF kulikua na ka beef kati ya Wema Sepetu na Riyama ,ambapo kwenye tuz...

Siri Nzito Yafichuka Kilichosababisha Wema Sepetu Asishiriki Msiba wa Masogange

BAADA ya kuwa gumzo msibani wakati wa kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa video queen kwenye nyimbo mbalim...

Monalisa Afunguka Bifu la Wema na Riyama Kumbe Halikuanzia Kwenye Tuzo

10h ago

Baada ya kumalizika drama za hapa na pale kati ya Wema Sepetu na Rihama Ally, msanii wa Filamu Bongo,...

Kanumba Alikataa Mama Yake Kuigiza, Siwezi Kuigiza Naye

10h ago

Msanii wa Bongo movie Wema Sepetu amefunguka na kuweka wazi kuwa kamwe hawezi kuigiza filamu moja na ...

Siri Wema Sepetu Kuutosa Msimba wa Masogange Yafichuka

11h ago

BAADA ya kuwa gumzo msibani wakati wa kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa video queen kwenye nyimbo mbalimb...

Hii Ndio Sababu Ya Wema Kutohudhuria Mazishi Ya Agnes Masogange

13h ago

Wikiendi iliyopita marehemu Agnes Gerald 'Masogange' aliagwa na wasanii wenzake wa Bongo...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek