Alichojifunza Dogo Janja Kupitia Video ya Nandy na Bilnass Kuvuja.

By Ghafla Tanzania, 5d ago

Msanii Dogo Janja amefunguka na kusema kuw kutokana na kitendo alichokutana nacho Nandy amejifunza kuwa wasanii wengi hawana ushirikianao katika kupatwa kwa matatizo kwa wasanii wenzao zaidi ya kuwa wanashuapalia mambo. Kupitia matukio mawili makubwa ambayo  ya roma kutekwa na nandy kuvujisha video inamfundisha tabia za wasaniiwengine huku akisema kuwa kwa tukio la nandy wasanii wengine wamefurahishwa na tukio ilo na walikuwa wakiomba sana Nandy aweze kufungiwa kama adhabu ili iwe faida kwao kwa kupata show. Nahisi ninaweza kumaindiwa leo na wasanii wenzangu lakini ni lazima mtu aanze ndio ...

ZINAZOENDANA

Baada ya Kufungiwa na Kufunguliwa, Roma Anena Haya

MACHI 1, mwaka huu ni mwezi usiosahaulika katika maisha ya Ibrahim Musa 'Roma Mkatoliki'...

UZALISHAJI WA CHAKULA NCHINI UMEIMARIKA - WAZIRI MKUU MAJALIWA

8h ago

        WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakul...

Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini waimarika

8h ago

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufik...

HUYU NDIYE MASOGANGE TUNAYEMJUA

KIFO cha ghafla cha mwa­namitindo au Video Queen wa Bongo Fleva, Agness Ger­ald almaarufu Masog...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA MJINI DODOMA

10h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufik...

Tanzania ina ziada ya chakula Tani Milioni 2.6, Waziri Mkuu aeleza

11h ago

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufik...

New Video: Bright ft Jolie - Mazonge

11h ago

Msanii Bright ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Mazonge’ ambayo amemshirikisha Jolie, vi...

Video: Inasikitisha Vilio, Simanzi Vyatanda Msiba wa Masogange

11h ago

Familia ya Aliekuwa Video Vixen, Maarufu Agness Gerald Maarufu kama Masogange wamekubaliana na Tarati...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek