Mama Mobeto Ataka Mtoto Wake Aolewe na Mzungu

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Mama mzazi wa mwanamitindo na video vixen hamisa mobeto alifunguka hivi karibuni na kusema kuwa alitamani sana mtoto wake kuolewa na mzungu .mama huyo anasema kuwa lengo kubwa la yeye kuolewa na mwanaume wa kizungu ni kutokana na kuamini kuwa wanaume wengi wa kiafrika hawana mapenzi ya kweli. Akiongea na MCL Digital, mama mobeto anasema kuwa anaamini kuwa mtoto wake ni mrembo na ana sifa za kuolewa na mwanaume mwenye kumjali na kumpenda. unajua mtoto wangu mzuri, mrembo na anashingo ndefu nataka mwanaume atakae muoa amwangalie kama malaika, amwangalie kama malaika kwa sababu ni mwanamke mwenye...

ZINAZOENDANA

Halima Burembo: Upinzani Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA - VIDEO

The post STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA – VIDEO appeared first on Global Publisher...

Mlinga: Wapinzani Mnatukana Matusi Hamna Jema - Video

Mbunge wa Jimbo la Mlinga, Goodluck Mlinga, amesema kwa kawaida binadamu akitaka kuomba jambo lolote ...

Halima Burembo: Upinzania Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

PROF JAY Alivyotumia Staili ya 'Ku-Rap' Bungeni - Video

Mbunge wa Mikumi kupitia Chadema, Joseph Haule, akichangia Mjadala wa ujenzi wa barabara uliopo katik...

Casto Dickson awafungia kioo wanaomponda Tunda, atangaza ndoa

2h ago

Ni msanii anayepamba video za muziki, 'video queen' Tunda.

BOMBARDIER ZILIVYOMUIBUA HECHE BUNGENI LEO- VIDEO

MBUNGE wa Tarime Vijijini, John Heche akichangia hoja inayohusu bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawas...

MASALA: Siyo Lazima Wabunge Wote 'Tutoe Mapovu' - VIDEO

Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala akichangia hoja kwenye bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawasilian...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek