Bifu Kati Ya Wanamuziki Ni Muhimu-Country Boy

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayefanya miondoko ya kurap Ibrahim Mandingo maarufu kama Country Boy ameibuka na kutetea uwepo wa bifu miongoni mwa wasanii. Bifu ni kitendo cha kutokuwepo maelewano baina ya watu na hii inatumika baina ya wasanii ambapo kwa nchi za nje wasanii hutengeneza bifu ili kuuza kazi zao. Country Boy amefunguka na kudai bifu ni muhimu katika sanaa na bila kuwepo kwa bifu kunakuwa hakuna msisimko katika kazi za wasanii kwani ushindani unakuwa mdogo. Kwenye mahojiano aliyofanya  na Star Showbiz, Country Boy alisema kuwa, msisimko kwenye muziki unapungua kwa sababu wanamuz...

ZINAZOENDANA

Daimond Akoshwa na Jitihada za Vanesa Mdee "Unapambana Sana Vee"

Msanii Diamond Platnumz amemfagilia mrembo Vanessa Mdee kutokana na jitihada zake anazofanya kila kuk...

Wanaofanya Kiki Waendelee na Kiki Zao Mimi Siwezi Kufanya Hadi Naingia Kaburini- Alikiba

Msanii wa bongo fleva Alikiba ambaye hivi karibuni amefunga ndoa na Binti wa Kimombasa ajulikanae kwa...

Diamond amfagilia Vanessa Mdee, '€œUnapambana sana Vee'€

2h ago

Msanii Diamond Platnumz amemfagilia mrembo Vanessa Mdee kutokana na jitihada zake anazofanya kila kuk...

Madonna Ashindwa Kesi ya Barua ya Kutemwa na Tupac Shakur

Malkia wa muziki wa Pop kutoka nchini Marekani na mshindi wa tuzo za Grammy, Madonna ameshindwa kesi ...

Itazame hapa video ya mchekeshaji Erick Omondi - Kiwaru (Kwangwaru remix)

3h ago

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Erick Omondi amekuja na video mpya ya wimbo alioupa jina Kiwaru. Wim...

Ice Boy avundika Kolabo yake na Jose Chameleone

6h ago

Msanii wa muziki wa kizazi cha rap Tanzania, Ice Boy ametoa sababu na changamoto za kutchelewa kwa ko...

Mrisho Mpoto "Wanawake Bongo Wanafikiria Kukaa Uchi Ndio Wataolewa"

Mijadala mingi iliibuka baada ya wasanii AY na Ali Kiba kuamua kuoa wake zao ambao sio watanzania sas...

AVRIL AKANUSHA KUFANYIWA UPASUAJI

6h ago

NAIROBI, KENYA BAADA ya staa wa muziki nchini Kenya, Avril Nyambura, kujifungua mtoto wa kwanza wiki ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek