Diamond Afikishwa Polisi Baada Ya Video Yake Kuvuja Mtandaoni

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amefikishwa polisi jana kwa ajili ya mahojiano baada ya kusambaa kwa video zake zisizo na maadili katika mitandao ya kijamii. Jamiiforum wnaripoti kuwa hayo yalisemwa na Waziri wa habari, Michezo, Utamaduni na sanaa Dr.  Harrison Mwakyembe akiwa bungeni wakati akijibu swali juu ya kanuni za maudhi ya Mitandaoni aliloulizwa na Mbunge Goodluck Mlinga. Aidha Dkt. Mwakyembe amesema Msanii Faustina Charles (Nandy) naye atahojiwa na Polisi kufuatia video yake ya faragha akiwa na Msanii mwenzake Billnass kusambaa mitandaoni. ...

ZINAZOENDANA

Halima Burembo: Upinzani Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA - VIDEO

The post STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA – VIDEO appeared first on Global Publisher...

Mlinga: Wapinzani Mnatukana Matusi Hamna Jema - Video

Mbunge wa Jimbo la Mlinga, Goodluck Mlinga, amesema kwa kawaida binadamu akitaka kuomba jambo lolote ...

Halima Burembo: Upinzania Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

PROF JAY Alivyotumia Staili ya 'Ku-Rap' Bungeni - Video

Mbunge wa Mikumi kupitia Chadema, Joseph Haule, akichangia Mjadala wa ujenzi wa barabara uliopo katik...

Daimond Akoshwa na Jitihada za Vanesa Mdee "Unapambana Sana Vee"

Msanii Diamond Platnumz amemfagilia mrembo Vanessa Mdee kutokana na jitihada zake anazofanya kila kuk...

Wanaofanya Kiki Waendelee na Kiki Zao Mimi Siwezi Kufanya Hadi Naingia Kaburini- Alikiba

Msanii wa bongo fleva Alikiba ambaye hivi karibuni amefunga ndoa na Binti wa Kimombasa ajulikanae kwa...

Casto Dickson awafungia kioo wanaomponda Tunda, atangaza ndoa

2h ago

Ni msanii anayepamba video za muziki, 'video queen' Tunda.

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek