Mh Mwakyembe Aagiza Nandy Kukamatwa

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Mh Waziri wa habari na michezo, Harrison Mwakyembe ameagiza kukamatwa kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya mwanadada  Nandy baada ya kusambaa kwa video zake chafu na kufikishwa kituo cha polisi kwa ajili ya mahojiano na uchunguzi zaidi. Majibu hayo yamekuja baada ya Mh  Goodluck Mlingwa  mbunge kutoka Morogoro alipouliza ni hatua gani za serikali zimekuwa zikichukuliwa ili kupambana na wasanii wanaweka picha za uchi na matuzi katika mitandao. Hata hivyo, Mwakyembe amethibitisha kuwa mpaka sasa msanii Diamond Platinumz bado yuko polisi alikofikishwa tangu jana kwa ajili ya mahojiano ba...

ZINAZOENDANA

Halima Burembo: Upinzani Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA - VIDEO

The post STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA – VIDEO appeared first on Global Publisher...

Mlinga: Wapinzani Mnatukana Matusi Hamna Jema - Video

Mbunge wa Jimbo la Mlinga, Goodluck Mlinga, amesema kwa kawaida binadamu akitaka kuomba jambo lolote ...

Halima Burembo: Upinzania Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

PROF JAY Alivyotumia Staili ya 'Ku-Rap' Bungeni - Video

Mbunge wa Mikumi kupitia Chadema, Joseph Haule, akichangia Mjadala wa ujenzi wa barabara uliopo katik...

Daimond Akoshwa na Jitihada za Vanesa Mdee "Unapambana Sana Vee"

Msanii Diamond Platnumz amemfagilia mrembo Vanessa Mdee kutokana na jitihada zake anazofanya kila kuk...

Casto Dickson awafungia kioo wanaomponda Tunda, atangaza ndoa

2h ago

Ni msanii anayepamba video za muziki, 'video queen' Tunda.

BOMBARDIER ZILIVYOMUIBUA HECHE BUNGENI LEO- VIDEO

MBUNGE wa Tarime Vijijini, John Heche akichangia hoja inayohusu bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawas...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek