Wolper Aelezea Ukaribu Wake na Team ya WCB

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Wiki iliyopita yalisambaa baadhi ya maneno yakisema kuwa Wolper amesema kuwa yeye sio shabiki wa WCB bali shabiki wa Diamond Platinumz tu, hii ikimaanisha kuwa hana mapenzi na wasanii wengine wa wcb zaidi ya bosi wa lebel hiyo. Hata hivyo hivi karibuni Wolper alifunguka na kukanusha kuhusu maneno hayo na kusema kuwa watu waliomsikia walimuelewa vibaya kwa sababu si hivyo ambavyo wamefikiria ndivyo alivyomaanisha.Wolper anasema kuwa kwa mtu anaelewa mahusianao yake na WCB hawezi kutilia mashaka swala kama hilo au kufuatilia kwa undani maneno hayo. Mtu akisikiliza kauli kama hiyo na ananijua mim...

ZINAZOENDANA

Daimond Akoshwa na Jitihada za Vanesa Mdee "Unapambana Sana Vee"

Msanii Diamond Platnumz amemfagilia mrembo Vanessa Mdee kutokana na jitihada zake anazofanya kila kuk...

Diamond amfagilia Vanessa Mdee, '€œUnapambana sana Vee'€

2h ago

Msanii Diamond Platnumz amemfagilia mrembo Vanessa Mdee kutokana na jitihada zake anazofanya kila kuk...

Itazame hapa video ya mchekeshaji Erick Omondi - Kiwaru (Kwangwaru remix)

3h ago

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Erick Omondi amekuja na video mpya ya wimbo alioupa jina Kiwaru. Wim...

Wolper Aitabiria Kifo Bongo Movie, Awataka Waache Unafiki

STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, amekubali kushindwa kwenye upande wa filamu na hati...

Wolper Anyosha Mikono Juu '€œR.I.P Bongo Movie Acha Nipambane Zangu '€œ

Msanii wa Bongo movie Jacqueline Wolper ameonesha kukubali kushindwa kwenye upande wa filamu na hatim...

Kombe la Dunia Lamaliza 'Bifu' la Diamond, Nahreel

Chumba cha habari Dar. Fainali za Kombe la Dunia ambazo zitatimua vumbi nchini Urusi mwezi Juni mwaka...

Esma Akubali Kumuonea Wivu Zabibu Kiba, Amtaka Kaka Yake Aoe

Wikiend iliyopita ,msanii alikiba alifunga ndoa na mwanamke kutoka kenya ambapo kati ya wasanii walio...

Harmonize Awasihi Mashabiki Wasimchonganishe na Ali Kiba

11h ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri na ngoma yake ya ' Kwa ngwaru' Harmonize am...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek