Monalisa Kuikabidhi Tuzo ya APA Bungeni

By Ghafla Tanzania, 1w ago

mwanadada Monalisa amabe ametua bongo siku ya jana kutokea nchin Ghana alipokwenda kwa ajili ya utaoji wa tuzo za african prestigious ambapo yeye pia ni mmoja kati ya walioshinda tuzo hizo kwa upande wa wanawake na Ray Kigosi kwa upand wa wanaume anatarajiwa kuipeleka tuzo hiyo bungeni siku za hii karibuni ikiwa ni kama nembo ya ushindi wa taifa. Monalisa ambae pia alimpokelea rais wa Tanzania , tuzo hiyo na kuileta nyumbani baada ya Mh Magufuli kuchaguliwa kama kiongozi bora wa Africa, anatarajiwa kwenda bungeni kwa ajili ya kuipeleka tuzo hiyo. Akiweka bayana hilo , mama wa msanii monalisa a...

ZINAZOENDANA

Rais Dk Shein awasili Dodoma kuhudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano

2m ago

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana...

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

26m ago

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege...

RAIS DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO

34m ago

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana...

Makonda azua gumzo bungeni

44m ago

Na Editha Majura, Dodoma Ushawishi wa wabunge wa kutaka Bunge na Serikali, kumchukulia hatua Mkuu wa ...

Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa serikali ya Magufuli

44m ago

Mange Kimambi, mwanamitindo aliyabadilika kuwa mwanaharakati wa siasa na anaaminiwa kuwa ndio chanzo ...

PROF JAY Alivyotumia Staili ya 'Ku-Rap' Bungeni - Video

Mbunge wa Mikumi kupitia Chadema, Joseph Haule, akichangia Mjadala wa ujenzi wa barabara uliopo katik...

RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA AKUNWA NA KASI YA RAIS MAGUFULI

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (katikati) akiwasili kwenye Uwanja ...

BOMBARDIER ZILIVYOMUIBUA HECHE BUNGENI LEO- VIDEO

MBUNGE wa Tarime Vijijini, John Heche akichangia hoja inayohusu bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawas...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek