MAKAMISHNA WAIKIMBIA TUME YA UCHAGUZI KENYA

By Mtanzania, 5d ago

NAIROBI, KENYA MZOZO unaoendelea kushuhudiwa katika Tume Huru ya Uchaguzi na Uratibu wa Mipaka (IEBC) umeonekana kuchukua mkondo tofauti baada ya makamishna watatu kujiuzulu jana. Katika taarifa ya pamoja, Naibu Mwenyekiti Consolata Nkatha-Maina, makamishna Paul Kurgat na Margaret Mwachanya wamemlaumu Mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati wakisema ameshindwa kukiongoza chombo hicho na kuleta mshikamano unaotakiwa. Taarifa […]

ZINAZOENDANA

Mwenyekiti AFP Z'bar awaza Uchaguzi Mkuu wa 2020

11h ago

Ikiwa imesalia miaka miwili kabla ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kufanyika, baadhi ya wanasiasa visiw...

Huu Hapa Ushauri wa Mbasha kwa JokateBaada ya Alikiba Kuoa Mwanamke Mwingine

14h ago

Siku ya April 19,2018 msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba alifunga pingu za maisha na mpenzi wake Amina Kh...

Sakata la Matibabu Lissu Amvaa Spika Ndugai "Bunge Linavunja Sheria Linaendeshwa kwa Chuki na Upendeleo wa Kisiasa"

17h ago

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya ku...

Spika aagiza wabunge upinzani kupewa Ilani Uchaguzi ya CCM

17h ago

SPIKA Job Ndugai ameiagiza Ofisi ya Katibu wa Bunge, kuhakikisha wabunge wote wanagawiwa nakala za Il...

Tundu Lissu Amvaa Spika Ndugai Baada ya Kudai Hakufuata Taratibu

18h ago

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya ku...

Je wanaume wako tayari kutumia dawa za uzazi wa mpango Kenya ?

1d ago

Majaribio ya dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume yanatarajiwa kuanza mwaka huu na Kenya Italia Uinger...

Kuelekea uchaguzi mkuu DRC,Tume ya uchaguzi yawakamata watu waliojiandikisha zaidi ya mara moja

1d ago

Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewafungulia mashtaka watu 267,000 waliobai...

Muda wowote Amber Lulu kuolewa Kenya

1d ago

Msanii wa Muziki Bongo, Amber Lulu amefunguka kuhusu mipango yake ya kuolewa. Muimbaji huyo ambaye yu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek