Mpenzi wa Billnas Amtolea Povu Zito Nandy

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Siku chache zimepita tangu sakata la video ya chumbani ya Nandy na Billnas ivujishwe na mambo Bado ni mabaya kwa upande wa Nandy kwani  mpenzi wa Bill Nass amemtokea povu zito Nandy kwa kile kilichotokea. Alice ambaye ndiye anadaiwa kuwa katika mahusiano na Bill Nass kwa sasa ameonyesha kutopendezwa kabisa na kile kilichotokea kwa mpenzi wake pamoja na Nandy. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika: Ujue wakati mwingine jitahidi kujiheshimu Nandy, Ulimpigia William simu ukimuomba akutumie picha zenu za wakati mnadate.... bila hiyana mume wangu alikutumia, lakini wewe uliposti zile p...

ZINAZOENDANA

Halima Burembo: Upinzani Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA - VIDEO

The post STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA – VIDEO appeared first on Global Publisher...

Mlinga: Wapinzani Mnatukana Matusi Hamna Jema - Video

Mbunge wa Jimbo la Mlinga, Goodluck Mlinga, amesema kwa kawaida binadamu akitaka kuomba jambo lolote ...

Halima Burembo: Upinzania Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

PROF JAY Alivyotumia Staili ya 'Ku-Rap' Bungeni - Video

Mbunge wa Mikumi kupitia Chadema, Joseph Haule, akichangia Mjadala wa ujenzi wa barabara uliopo katik...

Casto Dickson awafungia kioo wanaomponda Tunda, atangaza ndoa

2h ago

Ni msanii anayepamba video za muziki, 'video queen' Tunda.

BOMBARDIER ZILIVYOMUIBUA HECHE BUNGENI LEO- VIDEO

MBUNGE wa Tarime Vijijini, John Heche akichangia hoja inayohusu bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawas...

MASALA: Siyo Lazima Wabunge Wote 'Tutoe Mapovu' - VIDEO

Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala akichangia hoja kwenye bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawasilian...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek