WANAFUNZI WA TANZANIA VINARA UANDISHI WA INSHA EAC NA SADC.

By Issa Michuzi, 5w ago

Wanafunzi wa shule za Sekondari hapa nchini wameibuka washindi wa Tuzo za uandishi wa Insha zinazotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( SADC).Akiongea mbele ya Wazazi na Walimu wa Wanafunzi waliopata ushindi wa insha hizo kwa  mwaka 2017 Naibu Katibu Mkuu wa Wazara ya Elimu Dkt. Ave Maria Semakafu amesema washindi wa Tuzo hizo wametoa taswira tofauti na dhana iliyojengeka miongoni mwa jamii kuwa elimu ya Tanzania si bora katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Nchi za kusini mwa Afrika.Akifafanua Dkt. Semakafu amesema kuwa mashind...

ZINAZOENDANA

Kamanda wa Polisi aliyewaonya wanaume kukohoa azungumzia kuhamishwa kwake ghafla baada ya kauli hiyo

27m ago

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi Visiwani Zanzibar, Hassan Nassir Ali, amefunguka juu ya u...

Kamanda wa Polisi aliyewaonya wanaume kukohoa azungumzia kuhamishwa kwake ghafla baada ya kauli hiyo

53m ago

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi Visiwani Zanzibar, Hassan Nassir Ali, amefunguka juu ya u...

WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC

  Mabalozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Yohana Lambo May...

Zanzibar yaagiza waalimu wa sayansi kutoka Nigeria

11h ago

Serikali ya Zanzibar imeagiza zaidi ya waalimu 300 wa masomo ya Sayansi kutoka nchini Nigeria ambao t...

Zanzibar yaagiza waalimu wa sayansi kutoka Nigeria

14h ago

Zanzibar yaagiza waalimu kutoka Nigeria kuziba pengo la waalimu 300

MSA lazindua shindano wanafunzi wa vyuo vikuu

14h ago

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua shindano kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na taasi...

UN WATOA ELIMU YA MALENGO YA DUNIA KWA WATU WENYE ULEMAVU

14h ago

Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiSHIRIKA la Umoja wa Mataifa (UN) kwa kushirikiana na Shirika la Seed Tr...

Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Waijia Juu Bodi ya Mkopo Kuhusiana na Masharti ya Mkopo Elimu ya Juu

14h ago

Mtandao wa Wanafunzi Tanzania(TSN) wameiomba Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kushughulikia baa...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek