Tanesco Wapewa Siku 30 na Serikali Kufanya Jambo Hili

By Udaku Specially, 39w ago

Serikali ya awamu tano kupitia Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametoa mwezi mmoja kwa mameneja wote wa mikoa wa Shirika la Umeme nchini Tanesco kuwaunganishia umeme wananchi ambao tayari washalipia huduma hiyo na meneja atakayeshindwa kutekeleza agizo hilo ajiuzulu kazi mara moja.Dkt. Kalemani ametoa agizo hilo wakati alipokuwa kwenye ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme vijijini (REA), awamu ya tatu katika maeneo mbalimbali wilayani kyela na kusema wananchi wamekuwa wanaolipia huduma ya kuunganishiwa umeme wamekuwa wakipatia kero nyingi bila ya kupewa hud...

ZINAZOENDANA

Waziri Kalemani aitaka Tanesco kukamilisha ukarabati wa miundombinu kabla ya Juni 30

32w ago

Na Greyson Mwase, KageraWaziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (T...

Waziri Kalemani aitaka Tanesco kukamilisha ukarabati wa miundombinu kabla ya Juni 30

32w ago

Na Greyson Mwase, KageraWaziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (T...

Waziri Kalemani Aitaka Tanesco kukamilisha Ukarabati Wa Miundombinu Kabla Ya Juni 30

32w ago

Na Greyson Mwase, KageraWaziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (T...

Waziri Kalemani Aitaka Tanesco kukamilisha Ukarabati Wa Miundombinu Kabla Ya Juni 30

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akikata utepe kuashiria uwashaji umeme katika kiji...

TANESCO MANYARA KUWACHUKULIA HATUA KALI WALE WOTE WANAOHUJUMU MIUNDOMBINU

Maneja wa Tanesco mkoa wa Manyara Gerson Manase akiongea na waandishi wa habari hawapo kwenye picha h...

Tanesco yatakiwa kuzibadilisha mita 350,000 za Luku

33w ago

Serikali imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuzifanyia mabadiliko mita 350,000 za Luku if...

NAIBU WAZIRI WA NISHATI SUBIRA MGALU, ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MITA ZA LUKU ZA KISASA JIJINI DAR ES SALAAM

33w ago

NA K-VIS BLOG/KhalfanSaidNAIBU Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu, ametembelea kiwanda cha kutengene...

Bungeni: Serikali Kujenga Kituo Kikubwa cha Kupoozea Umeme Jimbo la Kibamba

33w ago

Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) inatarajia kujenga kituo kikubwa cha kupoozea um...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek