BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

By Issa Michuzi, 4w ago

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia na kupitisha jumla ya Shillingi Billioni 898 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa mwaka wa fedha 2018/2019.Wakijibu hoja mbalimbali za wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2018/2019 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu amesema Wizara itaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Ukatili wa kijinsia ikiwemo kutoa elimu kwa wazazi ili wawafundishe watoto wao.Pia Mhe. Ummy Mwalimu amesisitiza kuwa kwa somo la elimu ya uzazi kwa...

ZINAZOENDANA

Bajeti Maliasili na Utalii yapita, mradi wa Stigle's Gorge watikisa

12m ago

Sakata la mradi wa umeme wa Stigler's Gorge ambao utekelezaji wake unafanyika katika pori la a...

WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC

  Mabalozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Yohana Lambo May...

Spika Ndugai aunga mkono usitishwaji wa kuweka mipaka (vigingi)

11h ago

Spika wa Bunge, Job Ndugai amekubaliana na ushauri wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingir...

Heche Aiwakia Serikali Uwekaji Vigingi Vijijini

11h ago

Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche (Chadema), ameionya serikali kama haitasitisha uwekaji wa vigin...

Zitto Kabwe Amkosoa Kigwangalla

11h ago

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi...

Wabunge Wa CUF Wamfagilia Rais Magufuli ....Wasifu Kasi Yake Na Waziri Mkuu Ya Uletaji Maendeleo

12h ago

WABUNGE watatu kutoka Chama cha Wananchi (CUF) mikoa ya Lindi na Mtwara wamepongeza kasi ya utendaji ...

Bajeti Maliasili na Utalii yapita, mradi wa Stigle's Gorge watikisa

12h ago

 Sakata la mradi wa umeme wa Stigler's Gorge ambao utekelezaji wake unafanyika katika pori ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek