Polepole: CCM Haijamkosoa CAG......CHADEMA Ndo Waliomkosoa

By Mpekuzi Huru, 4w ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao kama Chama Cha Mapinduzi na serikali hakuna mtu kati yao aliyemjibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad bali CHADEMA ndiyo wamemjibu.Polepole amesema hayo leo April 22, 2018 kupitia mtandao wake wa twitter na kudai kuwa wao waliipokea ripoti hiyo na kumpongeza CAG na kuit...

ZINAZOENDANA

Zitto Kabwe Amkosoa Kigwangalla

11h ago

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi...

Wabunge Wa CUF Wamfagilia Rais Magufuli ....Wasifu Kasi Yake Na Waziri Mkuu Ya Uletaji Maendeleo

12h ago

WABUNGE watatu kutoka Chama cha Wananchi (CUF) mikoa ya Lindi na Mtwara wamepongeza kasi ya utendaji ...

CHAMA CHA MAPINDUZI KUENDELEZA UHUSIANO NA MSHIKAMANO WAKE KWA VYAMA RAFIKI

14h ago

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akimkabidhi Rais wa Chama Cha Ukumbozi wa Afrika Kusini (ANC) ...

Ofisi ya CAG Yatoa Mafunzo Ya Viashiria Hatarishi (Risk Management) kwa TAA

Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Ndani wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bi. Irene Sikum...

Ziara ya Kinana Afrika Kusini

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akimkabidhi Rais wa Chama Cha Ukumbozi wa Afrika Kusini (ANC) ...

Mbunge Chadema hoi, apelekwa Muhimbili

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma, Mwalimu Kasulu Bilango, anayekabiliwa na ma...

Zitto amshukia Kigwangalla

18h ago

Zitto ambaye pia ni Kiongozi wa ACT-Wazalendo amesema hakuna anayepinga nchi kuongeza uwezo wa uzalis...

Ripoti mali za CCM yabaini wizi, utapeli

19h ago

Ripoti ya tume ya kuhakiki mali za CCM iliyoundwa na mwenyekiti wa chama hicho, Rais John Magufuli im...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek