Siasa za hofu na hofu za siasa

By Mzalendo, 4w ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pengine ni mkubwa kushinda yote tangu Watanzania walipoamua kuurejesha mfumo wa demokrasia ya vyama vingi 1992. Matukio ya hivi karibuni nchini humo ni yenye kuwatisha wananchi, hasa wakosoaji wa serikali. Taarifa iliyotiwa saini Februari 21 na asasi za kiraia zipatazo 100 imeielezea hali iliyopo. Taarifa hiyo imedai kwamba kumekuwako na ukiukwaji, usio wa kawaida, wa haki za binadamu. Imetaja jinsi wanaharakati, waandishi habari na wanasiasa wa upinzani walivyoshambuliwa, walivyoteswa na '€œw...

ZINAZOENDANA

Kamanda wa Polisi aliyewaonya wanaume kukohoa azungumzia kuhamishwa kwake ghafla baada ya kauli hiyo

35m ago

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi Visiwani Zanzibar, Hassan Nassir Ali, amefunguka juu ya u...

Kamanda wa Polisi aliyewaonya wanaume kukohoa azungumzia kuhamishwa kwake ghafla baada ya kauli hiyo

1h ago

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi Visiwani Zanzibar, Hassan Nassir Ali, amefunguka juu ya u...

Rais wa Ghana aamrisha kukamatwa mwenyekiti wa shirikisho la kandanda Ghana

1h ago

Hatua hiyo inafuatia makala moja ya uchunguzi ambayo inamhusisha Kwasi Nyantekyi na vitendo vya ulagh...

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATANO, MEI 23, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 23, 2018. Ni yale...

WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC

  Mabalozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Yohana Lambo May...

Zanzibar yaagiza waalimu wa sayansi kutoka Nigeria

11h ago

Serikali ya Zanzibar imeagiza zaidi ya waalimu 300 wa masomo ya Sayansi kutoka nchini Nigeria ambao t...

Umri sahihi wa kufunga ndoa ni huu hapa

11h ago

Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Utah kilichopo nchini Marekani imebainisha kwamba watu ambao ...

Zanzibar yaagiza waalimu wa sayansi kutoka Nigeria

14h ago

Zanzibar yaagiza waalimu kutoka Nigeria kuziba pengo la waalimu 300

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek