Hii Ndio Sababu Ya Wema Kutohudhuria Mazishi Ya Agnes Masogange

By Ghafla Tanzania, 4w ago

Wikiendi iliyopita marehemu Agnes Gerald 'Masogange' aliagwa na wasanii wenzake wa Bongo movie pamoja na Bongo fleva kwenye viwanja vya Leaders Club. Lakini Wema Sepetu alizua gumzo baada ya kitohudhuria siku hiyo wasanii wote walipoenda kisha mwili na hata wasanii waliposafiri kwenda Mbeya kwenda kumzika. Hapo mwanzoni kuna taarifa zilikuwa zinaenea na kudai kuwa sababu pekee iliyomfanya mpaka Wema  asihudhurie mazishi ya Masogange ni kwa sababu ya bifu lili kuwepo kati yake na marehemu. Baada ya Tetesi hizo kuenea gazeti la Risasi Mchanganyiko lilimsaka Neema Ndepanya ambaye ...

ZINAZOENDANA

Ex Wa Ali Kiba Adai Na Yeye Anataka Kuolewa Nje Ya Nchi

12m ago

Msanii wa Bongo movie aliyegeukia sanaa ya Bongo fleva Sabrina Omary 'Sabby Angel' ambay...

Shilole Awataka Wasanii Wenzake Waolewe Ili Waache Kuzini Mwezi Huu Mtukufu

48m ago

Msanii wa Bongo fleva Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole amewataka wasanii wenzake wa kike Kuolewa k...

Gigy Money Aomba Radhi Baada Ya Kumwaga Povu Zito

56m ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money ameomba radhi baada ya ugomvi wake n...

H.Baba- Hakuna Msanii Wa Kushindana na Mziki Wangu

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva H.baba amefunguka na kudai mpaka hivi sasa hajaona bado msanii amb...

Billnas Afunguka Kuhusu Ndoa Yake na Jinsi Ali Kiba Alivyohusika

Mwanamuziki wa Bongo fleva Bill Nas amefunguka na kuweka wazi kwa nini alitangaza ndoa yake mapema mw...

Mwanangu Akitaka Kuwa Mwanamuziki Ruksaa-Madee Ali

Mwanamuziki wa Bongo fleva kutoka katika kundi la Tip Top Connection, Madee Ali amefunguka na kudai e...

Msanii aliyesainiwa na Hanscana, 'MARIOO' afunguka maisha yake yalivyokuwa ndani ya THT

16h ago

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Marioo amesema licha ya kusainiwa na Hanscana lak...

Tunda Kanizidi Umri tu Sio Kazi:-Bob Junior

19h ago

Msanii wa bongo fleva wa muda mrefu  Bob Junior amefunguka na kumjibu tunda man kuwa aache kumdhar...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek