Kanumba Alikataa Mama Yake Kuigiza, Siwezi Kuigiza Naye

By Ghafla Tanzania, 4w ago

Msanii wa Bongo movie Wema Sepetu amefunguka na kuweka wazi kuwa kamwe hawezi kuigiza filamu moja na Mama mzazi wa Marehemu Steven Kanumba kwani Mwenyewe hakutaka mama yake ajiingize Kwenye sanaa. Wema ameanika hayo huku akisisitiza kuwa kipindi wakati Kanumba yuko hai alimweleza Wema ambaye alikuwa mpenzi wake kuwa kamwe hataki mama yake ajiingize kwenye Bongo movie. Wema alifunguka hayo Kwenye mahojiano aliyofanya na Global Publishers ambao walimuuliza endapo yupo tayari kucheza filamu na Mama Kanumba ambaye hivi sasa amegeukia sanaa hiyo: Hapana, siwezi kwa sababu Kanumba alikuwa hataki mam...

ZINAZOENDANA

Baba Kaumba Aibuka Ampa Masharti Mazio Lulu

22h ago

MUNGU ametenda! Ndiyo maneno ya kwanza kutoka kinywani kwa baba wa aliyekuwa staa wa filamu za Kibong...

Baba Kanumba Afurahishwa na Kitendo Cha Lulu Kutoka Gerezani

24h ago

Baba mzazi wa aliyekuwa staa wa Bongo movie Steven Kanumba, Charles Kusekwa Kanumba amefunguka na kuw...

Baba Kanumba Ampa Lulu Masharti Mazito

MUNGU ametenda! Ndiyo maneno ya kwanza kutoka kinywani kwa baba wa aliyekuwa staa wa filamu za Kibong...

Ishu ya Lulu, Baba na Mama Kanumba kila mtu na lake

2d ago

IMESHATIMIA wiki sasa tangu mwigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu', aachiwe ...

Ishu ya Lulu Baba na Mama Kanumba kila mtu na lake

2d ago

Imeshatimia wiki sasa tangu mwigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu', aachiwe ...

Sakata la Kichapo cha Mama Diamond Kwa Hamisa Mobetto, Familia Yaingia Katika Vita Nzito

Kama ni nyumba kushika moto, basi huu moto wa Madale ni wa gesi maana unaunguza hatari na mpaka sasa ...

Baba Kanumba afungua moyo kwa Lulu

5d ago

Novemba 13, 2017 Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kumuua bila kukusudia msa...

Ali Kiba Namba na Technologia Aidanganyi Mzee Baba...We

ALI Saleh Kiba ndiyo ma­jina matatu yanayo­tambulika kiseri­kali. Mengine ni King Kiba au Al...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek