Monalisa Afunguka Bifu la Wema na Riyama Kumbe Halikuanzia Kwenye Tuzo

By Udaku Specially, 4w ago

Baada ya kumalizika drama za hapa na pale kati ya Wema Sepetu na Rihama Ally, msanii wa Filamu Bongo, Monalisa amesema malalamiko ya Riyama yalikuwa ni zaidi ya tuzo aliyoshinda Wema.Awali Rihaya alikuwa akilalamika kuhusu kushindanishwa na Wema Sepetu katika tuzo za za Sinema Zetu International Film Festival Award (SZIFF) na Wema kushinda tuzo hiyo.Hata hivyo wawili hao walionekana kupatana mara baada ya kukutana katika kumpokea Monalisa akitokea Nigeria ambapo alishinda tuzo ya The African Prestigious Awards (APA) 2017 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika..'€œKwanza nis...

ZINAZOENDANA

Zanzibar yaagiza waalimu wa sayansi kutoka Nigeria

11h ago

Serikali ya Zanzibar imeagiza zaidi ya waalimu 300 wa masomo ya Sayansi kutoka nchini Nigeria ambao t...

Zanzibar yaagiza waalimu wa sayansi kutoka Nigeria

14h ago

Zanzibar yaagiza waalimu kutoka Nigeria kuziba pengo la waalimu 300

UBA YAJIVUNIA MAFANIKIO YAKE, YAAHIDI HUDUMA BORA ZA KIBENKI NCHINI

15h ago

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiUONGOZI wa United Bank for Africa(UBA) umesema umejipanga kuendelea k...

Ebola: Mechi kati ya Nigeria na DRC kuchezwa Jumatatu

21h ago

Mechi ya kirafiki kati ya Nigeria na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itapigwa Jumatatu ya wiki ijayo...

Zanzibar yapata walimu wa sayansi kutoka Nigeria

23h ago

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema walimu 300 wa masomo ya sayansi kutoka Nigeria wanahitaji...

Baada Ya Kupewa Kichapo na Mama Diamond, Hamisa Afunguka

Muigizaji wa Bongo movie na mfanyabiashara Hamisa Mobetto amefungukia skendo ambayo imekuwa ikimzungu...

Shamsa Ford: Sina Bifu na Harmonize

Muigizaji wa Bongo movie Shamsa Ford amefunguka na kusema hana bifu lolote na staa wa muziki wa Bongo...

Mameneja Wa Diamond Wadaiwa Kuhusika na Kusambaza Video Ya Ngono Ya Nandy

Kama utakumbuka mwezi uliopita jiji zima lilizizima baada ya video ya ngono iliyomuhusisha msanii wa ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek