Wema Awatolea Povu Wanaomsema "Mi ndo Tz Sweetheart Bana Mpende Msipende ndo Nshakuwa Sasa"

By Udaku Specially, 4w ago

Mwanadada maarufu nchini Tanzania  ambaye ni muigizaji wa movie za kibongo Wema Sepetu leo ameamua kumwaga povu kwa watu ambao wamekuwa wakimsema na kuwaambia kuwa yeye ni Tz Sweetheart  hata wakimsema na bado anawapenda tu. Kupitia accaunt yake ya Instagram ameanika "mi nawapenda tu ... mi ndo sweetheart bana .... mpende msipende nshakuwa sasa... ila ndo hivyo nshakuwa sweetheart ..sasa wewe seeeeeeeemaaaa, pondaaaaa.... ila Tz sweeheart ndo mie.... sema mnazungumziaje moto... kuchoma moto vepeee...?  ila nyie watu nyie... mnajua kuchoma moto ni process eeh... leo mmenipa ...

ZINAZOENDANA

Sakata la Kichapo cha Mama Diamond Kwa Hamisa Mobetto, Familia Yaingia Katika Vita Nzito

Kama ni nyumba kushika moto, basi huu moto wa Madale ni wa gesi maana unaunguza hatari na mpaka sasa ...

Kumbe mambo shwari: Riyama Ally anyoosha maneno kuhusu Wema Sepetu (+video)

5d ago

Msanii wa filamu Bongo, Riyama Ally amesema hakukuwa na ugomvi wowote kati yake na Wema Sepetu kama i...

Esma- Wema Ndio Ana Mapenzi Ya Kweli Alimpenda Naseeb Sio Diamond

Dada wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Esma Platnumz amemwagia sifa kibao aliyekuwa wifi yake ...

Wema augua ghafla, kesi yakwama

1w ago

KESI ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili, mrembo Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili imeshindw...

Wema Augua Ghafla Mahakamani

1w ago

JANA Mrembo Wema Sepetu ameshindwa kujitetea katika kesi yake ya kutumia dawa za kulevya baada ya kuu...

Wema Augua Ghafla Mahakamani

Mwanadada wema sepetu siku ya leo alitakiwa kusimamam na kujiteta katika kizimba cha mahakama ya kisu...

Hamisa Afunguka Kuhusu Ndoa, Akanusha Kuwa Single Mother

Kumekuwa na habari nyingi sana kuhusu Hamisa kufunga ndoa na Diamond kwa sababu tu wawili hao kwa sas...

Wema Sepetu Augua Ghafla Mahakamani Kisutu

Kutokea Mahakamani Kisutu leo ni kwamba mrembo Wema Sepetu ameshindwa kujitetea katika kesi yake ya k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek