MUHIMBILI KUFUNGA MASHINE YA KUDHIBITI TAKA HATARISHI

By Issa Michuzi, 1w ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili inatarajia kufunga mashine ya kisasa ya utasishaji taka ambayo itapunguza uchomaji wa taka za plastiki ambazo zina madhara kwa binadamu Mashine hiyo yenye thamani ya Dola Laki moja imetolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo (UNDP) hivyo Hospitali ya Taifa Muhimbili itakua hospitali ya kwanza ya Umma kuwa na mashine hiyo.  Akizungumza mara baada ya kupokea ugeni kutoka UNDP ambao umekuja kwa lengo la kukagua utekelezwaji wa mradi wa mazingira , Mkuu wa Idara ya Mazingira MNH Muhandisi Veilla Matee amesema mashine hiyo itaf...

ZINAZOENDANA

Mbunge Chadema hoi, apelekwa Muhimbili

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma, Mwalimu Kasulu Bilango, anayekabiliwa na ma...

MOI Kulipa Fidia ya Tsh. Mil. 100 kwa Kupasua Kichwa Badala ya Mguu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili...

MOI yaamriwa kulipa fidia ya Tsh100 milioni

2d ago

Mahakama Kuu imeamuru Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), kumlipa fidia y...

Moi yaamriwa kulipa fidia ya Sh100 milioni

2d ago

 Mahakama Kuu imeamuru Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (Moi), kumlipa fid...

Mwili wa mwanafunzi wa Muhas aliyefia chumbani ulivyobainika

2d ago

Ofisa habari wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Hellen Mtui ameeleza nam...

Sakata la Mwanafunzi wa Chuo cha Muhimbuli Aliyekutwa Amekufa Hostel, Kamanda wa Polisi Afunguka

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala, Salum Amdani  amesema kwamba Jeshi la Polisi linasubiri taarifa...

Maiti ya mwanafunzi yagundulika chumbani Muhimbili

3d ago

Mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Famasia katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Mu...

Pacha Maria na Consolata Waruhusiwa Muhimbili na Kuhamishiwa Hospitali ya Iringa

5d ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jana  imewaruhusu Maria na Consolata waliokuwa wamelezwa kati...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek