Esma- Wema Ndio Ana Mapenzi Ya Kweli Alimpenda Naseeb Sio Diamond

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Dada wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Esma Platnumz amemwagia sifa kibao aliyekuwa wifi yake Wema Sepetu kwa kudai ndio mwanamke aliyempenda kweli Diamond. Kama utakumbuka Wema na Diamond walikuwa wapenzi kwa muda mrefu tangu Wema alipokuwa Miss Tanzania kwa kipindi hiko Diamond alikuwa ndio anaanza muziki.   Esma alianza kwa kumposti  Wema na  kuanza kumsifia kuwa amependeza na mavazi yake ya kinigeria ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweka posti: Baada ya posti hiyo kuzua gumzo baada ya Esma kuendelea kuitana wifi na Wema hata baada ya Wema kuachana na kaka yake ...

ZINAZOENDANA

Ex Wa Ali Kiba Adai Na Yeye Anataka Kuolewa Nje Ya Nchi

16m ago

Msanii wa Bongo movie aliyegeukia sanaa ya Bongo fleva Sabrina Omary 'Sabby Angel' ambay...

Shilole Awataka Wasanii Wenzake Waolewe Ili Waache Kuzini Mwezi Huu Mtukufu

52m ago

Msanii wa Bongo fleva Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole amewataka wasanii wenzake wa kike Kuolewa k...

Gigy Money Aomba Radhi Baada Ya Kumwaga Povu Zito

60m ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money ameomba radhi baada ya ugomvi wake n...

H.Baba- Hakuna Msanii Wa Kushindana na Mziki Wangu

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva H.baba amefunguka na kudai mpaka hivi sasa hajaona bado msanii amb...

Billnas Afunguka Kuhusu Ndoa Yake na Jinsi Ali Kiba Alivyohusika

Mwanamuziki wa Bongo fleva Bill Nas amefunguka na kuweka wazi kwa nini alitangaza ndoa yake mapema mw...

Mwanangu Akitaka Kuwa Mwanamuziki Ruksaa-Madee Ali

Mwanamuziki wa Bongo fleva kutoka katika kundi la Tip Top Connection, Madee Ali amefunguka na kudai e...

Mpiga Picha wa Diamond 'Lukamba'Afunguka Ishu ya Hamisa na Zari

14h ago

Kuna kipindi Mpiga picha wa Diamond, Lukamba alioneka katika picha moja na mwanamitindo Hamisa Mobett...

Msanii aliyesainiwa na Hanscana, 'MARIOO' afunguka maisha yake yalivyokuwa ndani ya THT

16h ago

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Marioo amesema licha ya kusainiwa na Hanscana lak...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek