Mkali Wenu Aongelea Wimbo wa Alikiba Kubuma

By Ghafla Tanzania, 7d ago

Mchekeshaji wa maigizo ya timamu tv Mkali Wenu amefunguka na kuongelea swala la wimbo wa Alikiba mpya uliotoka hivi karibuni jinsi ulivyotoka lakini hakuna attention yoyote katika mitandao ya kijamii kama ilivyokuwa katika wimbo wa Seduce me. Mkali wenu anasema kuwa wimbo wa Seduce me ulikuja na kukatokea vitu vingi sana katika mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na bifu zito kuendelea kati ya Kiba na Diamond lakini huu wa sasa haukuwa na vitu hivyo. kwakweli kuna tofauti katika alivyotoa wimbo wa seduce me  na wimbo wake huu  mpya , wakati wa seduce me kulikuwa na vitu vingi sana mara d...

ZINAZOENDANA

Billnas Afunguka Kuhusu Ndoa Yake na Jinsi Ali Kiba Alivyohusika

Mwanamuziki wa Bongo fleva Bill Nas amefunguka na kuweka wazi kwa nini alitangaza ndoa yake mapema mw...

Mpiga Picha wa Diamond 'Lukamba'Afunguka Ishu ya Hamisa na Zari

14h ago

Kuna kipindi Mpiga picha wa Diamond, Lukamba alioneka katika picha moja na mwanamitindo Hamisa Mobett...

Sababu za Bill Nass kutangazaka kuoa, amtaja Alikiba kama mfano bora

16h ago

Hitmaker wa ngoma ‘Sina Jambo’, Bill Nass amefunguka ni kwanini ameamua kutangaza kuoa. B...

Mpiga Picha wa Diamond 'Lukamba' afafanua ishu ya Hamisa na Zari

16h ago

Kuna kipindi Mpiga picha wa Diamond, Lukamba alioneka katika picha moja na mwanamitindo Hamisa Mobett...

Madee Atofautiana na Diamond Kuhusu Malezi ya Watoto.

19h ago

Msanii wa muziki Bongo kutoka Tip Top Connection, Madee amesema iwapo wanae wa kike, Aimal Hamad  ...

Madee Atofautiana na Diamond Kuhusu Malezi ya Watoto.

19h ago

Msanii wa muziki Bongo kutoka Tip Top Connection, Madee amesema iwapo wanae wa kike, Aimal Hamad  ...

Diamond Kuja na Wasafi Festival

19h ago

Msanii diamond platinumz ametangaza rasmi kuhusu kufanya festival kubwa mwaka huu itakayojulikana kam...

Mwanaume Kuchepuka Ndivyo Walivyoumbwa na Mungu: Shamsa Ford

19h ago

Muigizaji wa Bongo fleva Shamsa Ford amefunguka na kudai kuwa mwanaume yoyote lazima achiti/ achepuke...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek