Zari Aamua Kumshauri Diamond Kutumia Kinga Anapo Chapachapa

By Udaku Specially, 7d ago

KUNA kumlipua mtu, lakini huku kulipua kwingine ni sawa na kurusha bomu la nyuklia kwenye nyumba ya adui yako na kuisambaratisha kiroho mbaya.NI ZARIHicho ndicho amekifanya mwanamama Zarinah Hassan 'Zari The Boss Lady' kwa aliyekuwa baby-baba wa watoto wake ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'.Katika mahojiano maalum na vyombo mbalimbali nchini Kenya wikiendi iliyopita, Zari ambaye ni mjasiriamali na mburudishaji mwenye jina kubwa Afrika Mashariki alifunguka makubwa live juu ya kuachana na Diamond, kubwa likiwa ni kumtaka atumie kinga au mipi...

ZINAZOENDANA

Ex Wa Ali Kiba Adai Na Yeye Anataka Kuolewa Nje Ya Nchi

15m ago

Msanii wa Bongo movie aliyegeukia sanaa ya Bongo fleva Sabrina Omary 'Sabby Angel' ambay...

TANZANIA YAPIGIWA MFANO MATUMIZI BORA YA FEDHA ZA MAENDELEO ZA BENKI YA AfDB

14h ago

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeitaja Tanzania kuwa moja ya nchi za Afrika zenye matumizi bora...

Mpiga Picha wa Diamond 'Lukamba'Afunguka Ishu ya Hamisa na Zari

14h ago

Kuna kipindi Mpiga picha wa Diamond, Lukamba alioneka katika picha moja na mwanamitindo Hamisa Mobett...

Simu zinavyochangia watu kupoteza kazi Kenya

15h ago

Benki hutuma zaidi ya ujumbe mfupi wa simu kila sekunde hii inadhihirisha kwamba watu hutengemea simu...

Jiji la Nairobi

15h ago

Jiji la Nairobi ndiyo makao makuu ya Jamhuri ya Kenya tangu ipate uhuru mnamo 1963.

Tanzania Yapiga Mfano Matumizi Bora ya Fedha za Maendeleo za Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB

16h ago

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Khamis Shaaban(kushoto) akizungumza kwenye ...

Mpiga Picha wa Diamond 'Lukamba' afafanua ishu ya Hamisa na Zari

16h ago

Kuna kipindi Mpiga picha wa Diamond, Lukamba alioneka katika picha moja na mwanamitindo Hamisa Mobett...

Madee Atofautiana na Diamond Kuhusu Malezi ya Watoto.

18h ago

Msanii wa muziki Bongo kutoka Tip Top Connection, Madee amesema iwapo wanae wa kike, Aimal Hamad  ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek