Rais ashauriwa Kusaini Sheria ya kunyonyesha Mtoto

By Edwin Moshi, 6d ago

RAIS Uhuru Kenyatta ametakiwa kutia saini mswada wa sheria kuwapa fursa na ruhusa ama kubainisha wazi wanawake wanaweza kunyonyesha watoto wao katika maeneo ya umma bila vikwazo vyovyote.Mswada huo ambao ulidhaminiwa na Mbunge Mwakilishi wa Wanawake wa Kaunti ya Murang'a Bi Sabina Chege pia unasema ni sharti waajiri watenge maeneo maalumu kwa wanawake wanyonyesha watoto wao wakiwa kazini, kwa angalau dakika 40.Wito huu ulitolewa Jumanne na kundi la wanawake waliofanya maandamano katika barabara za jiji la Nairobi kuonyesha ghadhabu yao kutokana na kisa cha juzi ambapo mama mmoja al...

ZINAZOENDANA

Bajeti Maliasili na Utalii yapita, mradi wa Stigle's Gorge watikisa

15m ago

Sakata la mradi wa umeme wa Stigler's Gorge ambao utekelezaji wake unafanyika katika pori la a...

Ex Wa Ali Kiba Adai Na Yeye Anataka Kuolewa Nje Ya Nchi

15m ago

Msanii wa Bongo movie aliyegeukia sanaa ya Bongo fleva Sabrina Omary 'Sabby Angel' ambay...

Rais wa Ghana aamrisha kukamatwa mwenyekiti wa shirikisho la kandanda Ghana

1h ago

Hatua hiyo inafuatia makala moja ya uchunguzi ambayo inamhusisha Kwasi Nyantekyi na vitendo vya ulagh...

Je Trump atakutana na Kim Jong-un kweli?

4h ago

Rais Donald Trump mkutano wake wa mwezi june huko Singapore na rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ni...

Mtanzania Ateuliwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Mazingira

11h ago

Na.Mwandishi Wetu-MAELEZO.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw.Antonio Guterres ametangaza uteuzi wa Bi...

Heche Aiwakia Serikali Uwekaji Vigingi Vijijini

11h ago

Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche (Chadema), ameionya serikali kama haitasitisha uwekaji wa vigin...

Neema yawaangukia Barack Obama na mkewe, wasaini dili nono na kampuni ya Netflix

11h ago

Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle Obama wamesaini dili nono na kampuni ya Ne...

Wabunge Wa CUF Wamfagilia Rais Magufuli ....Wasifu Kasi Yake Na Waziri Mkuu Ya Uletaji Maendeleo

12h ago

WABUNGE watatu kutoka Chama cha Wananchi (CUF) mikoa ya Lindi na Mtwara wamepongeza kasi ya utendaji ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek