Baada ya Mumewe Kutajwa Katika Listi ya Wapenzi wa Wolpeer........ Shamsa Ford Ayamaliza na Harmonize

By Udaku Specially, 35w ago

Mugizaji wa Filamu Bongo, Shamsa Ford amesema hana bifu lolote na Harmonize mara baada ya muimbaji huyo kumtaja mume wake Chid Mapenzi katika orodha ya wanaume ambao alidai wamewahi kutoka kimapenzi na Jacqueline Wolper.Muigizaji huyo amesema kuwa licha kutopendezwa na kitendo hicho kwa ujumla hana ugomvi na Harmonize ili maisha mengine yaendelee.Soma Pia: Harmonize ataja list ya wanaume 12 waliotembea na Jacqueline Wolper'€œMume wangu ni mtu mpole sana, inawezekana hakupendezwa ila alikaa kimya, sisi wanawake tunamunkari ya hali ya juu, halafu unaona huyo kapata wapi huo ujasiri wa kuweka...

ZINAZOENDANA

Shamsa Ford Ayatoa Muhanga Maisha Yake "Hata Uwe Mwema Kiasi Gani Binadamu Atakutia Ubaya'

32w ago

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kujitoa muhanga wa maisha yake kwa kile alichokiele...

Baba Diamond Amsamehe Mwanae Queen Darleen

32w ago

BABA mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Abdul Juma a...

Zawadi ya Iddy Yamlainisha Baba Daimond....... Aamua Kumsamehe Queen Darleen

32w ago

BABA mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Abdul Juma amedaiw...

Sahau kuhusu Yemi Alade na Sarkodie; Sasa ni Harmonize na Wizkid

32w ago

Mashabiki wa Bongo Flava amekuwa na shauku ya kutaka kujua iwapo kuna kolabo ya Harmonize na Wizkid k...

Shamsa Ford- Mara Nyingi Sipendelei Kujichanganya na Watu

32w ago

Muigizaji wa Bongo movie Shamsa Ford amefunguka na kudai mara nyingi hupendelea kukaa mwenyewe kuliko...

Harmonize Athibitisha Kuwa '€œSinge Boy'

32w ago

Baada ya kuwa na mikwaruzano na kufikia mwanadada Sarah ambae ndie mpenzi wake na harmonize kuandika ...

Fella: Diamond, Aslay na Harmonize Waoe Sasa - Video

The post Fella: Diamond, Aslay na Harmonize Waoe Sasa – Video appeared first on Global Publishe...

Aliyempa Wolper Jeuri ya Pesa na Gari la Mil. 170 Anaswa Live

UNAMKUMBUKA yule kigogo aliyewahi kumpa jeuri ya pesa mjini na kutanulia ule mkoko wa gharama aina ya...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek