Mbunge Bashe afiwa na mama yake

By Mpekuzi Huru, 33w ago

Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe amefiwa na Mama yake Mzazi, Zainab Abdi aliyekuwa anapatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam.Bashe amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kutoa taarifa hiyo."Ndugu zangu nimeondokewa na mama yangu mpendwa.Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un"Naye, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amempa pole Mbunge huyo kwa kuan...

ZINAZOENDANA

KIFO CHA SAM WA UKWELI NI PIGO KUBWA KWANGU- RIDHIWANI KIKWETE

32w ago

Na Shushu Joel, Chalinze MBUNGE wa Jimbo la Chalinze  mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete amesik...

Miaka 26 ya Chama cha Wananchi - CUF (2)

32w ago

Julius Mtatiro – Gazeti la Mwananchi Sunday, June 10, 2018 Jumapili iliyopita tuliona jinsi Cha...

Kwanini Lipumba hakubaliki Tabora sawa na Shein Mkanyageni

32w ago

Elbattawi Jumamosi, Juni 9, 2018 DK Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyeykiti wa Baraza la M...

Sakata la Trillion 1.5, Serikali yafunguka Zilipo Billion 204 Sehemu ya Hela Hizo

32w ago

SAKATA LA TRILIONI 1.5, Serikali yafunguka kuhusu Tsh. Bilioni 204 ambazo ni sehemu ya sakata la Tsh....

Wasira Amtaka Zitto Kabwe Aipumzishe CCM

32w ago

Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira amemtaka Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Ka...

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Aongoza Mamia ya Watu Kumzika Sam wa Ukweli

32w ago

RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameungana na familia, ndu...

KIGWANGALLA AFUTURISHA WABUNGE DODOMA, ASISITIZA UPENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO WA KITAIFA

32w ago

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amefuturisha wabunge mbalimbali wa Bunge la Ja...

Rais Kikwete Auangana na Wasanii Kumzika Sam wa Ukweli - Video

RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameungana na familia, ndu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek