DKT. KIGWANGALLA ASHIRIKI MAZISHI YA MAMA YAKE MZAZI HUSSEIN BASHE WILAYANI NZEGA LEO

By Zanzi News, 23w ago

Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akimfariji mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe kufuatia kifo cha mama yake mzazi aliyezikwa leo wilayani Nzega. Kulia ni mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye. Wabunge mbalimbali wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na Abdallah Bulembo wameshiriki msiba huo pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali. Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) akimfariji mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe kufuatia ki...

ZINAZOENDANA

Kwanini Lipumba hakubaliki Tabora sawa na Shein Mkanyageni

22w ago

Elbattawi Jumamosi, Juni 9, 2018 DK Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyeykiti wa Baraza la M...

Sakata la Trillion 1.5, Serikali yafunguka Zilipo Billion 204 Sehemu ya Hela Hizo

22w ago

SAKATA LA TRILIONI 1.5, Serikali yafunguka kuhusu Tsh. Bilioni 204 ambazo ni sehemu ya sakata la Tsh....

Wasira Amtaka Zitto Kabwe Aipumzishe CCM

22w ago

Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira amemtaka Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Ka...

KIGWANGALLA AFUTURISHA WABUNGE DODOMA, ASISITIZA UPENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO WA KITAIFA

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.  Hamisi Kigwangalla (kushoto) akimkaribisha Spika wa Bunge...

KIGWANGALLA AFUTURISHA WABUNGE DODOMA, ASISITIZA UPENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO WA KITAIFA

22w ago

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amefuturisha wabunge mbalimbali wa Bunge la Ja...

Serikali yajibu tukio la mwanamke kujifungulia Polisi

22w ago

Kufuatia tukio la mwanamke mjamzito kujifungua kwenye Kituo cha Polisi Mang'ula mkoani Morogor...

Polepole Aisifu Barua ya Maaskofu, Serikali Yaikana

23w ago

Wakati Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiisifu barua waliyoandikiwa Kanisa la ...

DKT. Nzuki Aiwakilisha Tanzania Kwenye Mkutano wa UNWTO-Afrika Nchini Nigeria.

23w ago

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki (kulia) akisalimiana na...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek