Zitto ataka tafakuri ya Mbowe isilenge kubagua watu

By Mtembezi, 24w ago

Siku moja baada ya mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kutaka tafakuri pana kuhusu kuundwa kwa umoja wa demokrasia nchini, kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameshauri isilenge kubagua watu. Zitto pia ameeleza jinsi umoja huo utakavyokuwa na malengo yake, akisema si wa vyama pekee bali makundi yote katika jamii dhidi ya utawala usiofuata demokrasia nchini. […] The post Zitto ataka tafakuri ya Mbowe isilenge kubagua watu appeared first on Mtembezi.

ZINAZOENDANA

Pingamizi la Mbowe na Viongozi Chadema Latupiliwa Mbali Mahakamani

23w ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali pingamizi la viongozi wa CHADEMA akiwemo Freeman Mb...

Hakimu Atupilia mbali pingamizi la Mbowe na Wenzake

23w ago

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri ametupilia mbali pingamizi la viongozi wa Chadem...

Chadema yavurugwa na kifo cha diwani wake

23w ago

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema familia ya chama hicho imevurugwa kwa kumpoteza di...

HII NDIO HISTORIA YA MUZIKI WA DISCO TANZANIA

23w ago

Na Mwandishi wetu, Washington, DCNimeona nikae chini niipitie maandiko ya mhenga moja aliyeandika hab...

Kwanini Lipumba hakubaliki Tabora sawa na Shein Mkanyageni

23w ago

Elbattawi Jumamosi, Juni 9, 2018 DK Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyeykiti wa Baraza la M...

Sakata la Trillion 1.5, Serikali yafunguka Zilipo Billion 204 Sehemu ya Hela Hizo

23w ago

SAKATA LA TRILIONI 1.5, Serikali yafunguka kuhusu Tsh. Bilioni 204 ambazo ni sehemu ya sakata la Tsh....

Wasira Amtaka Zitto Kabwe Aipumzishe CCM

23w ago

Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira amemtaka Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Ka...

Polepole Aisifu Barua ya Maaskofu, Serikali Yaikana

23w ago

Wakati Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiisifu barua waliyoandikiwa Kanisa la ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek