Hamissa Mobetto- Barabara Yangu ni Mbovu Ila Ipo Siku Mungu Ataisawazisha na Kuiweka Rasmi

By Udaku Specially, 24w ago

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameeleza hisia zake kwa kile ambacho anapitia kwa sasa katika maisha yake.Mrembo hiyo amesema licha ya magumu anayokabiliana nayo kwa sasa bado anaamini Mwenyenzi Mungu atamvusha. Kupitia mtandao wa snapchart ameandika;Bado sijafika Mw/Mungu aliponipangia na kama mnavyoona barabara yangu ni mbovu, ina mashimo, mabonde na pia matope mengi kwa hiyo safari yangu inakuwa ngumu kidogo.Lakini naimani sana na M/Mungu alonileta kwenye dunia hii, naimani ipo siku nitafika na Naimani barabara yangu hii nii mbovu ipo siku ataisawazisha na kuiweka rasmi.Nina kushukuru sana Mung...

ZINAZOENDANA

Alichosema Mkubwa Fella Baada ya Aslay Kuachana na Mzazi Mwenzie "Nasubiri Nipigiwe Simu na Wahusika Niweze Kusuruhisa"

23w ago

Mkurugenzi wa kundi la Yamoto Band na Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella ameshtushwa na taarifa...

Nikki Mbishi Awatolea Povu Watangazaji Wanaouliza Kuhusu Alikiba na Daimond

23w ago

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki Mbishi ameonyesha kukerwa aina fulani ya uulizaji maswali ka...

Mkubwa Fella ashtushwa na taarifa za Aslay kuachana na mkewe 'mtoto kakua, sijapata taarifa' (+video)

23w ago

Mkurugenzi wa kundi la Yamoto Band na Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella ameshtushwa na taarifa...

Irene Apata Kigugumizi Baada ya Kusikia Zari Karudiana na Diamond.

23w ago

Mwanadada irene ambae alijiatia umaarufu baada ya kupata skendo ya kutembea na msanii wa muziki Diamo...

Watangazaji kupenda kuuliza kuhusu Diamond na Alikiba, Nikki Mbishi awatolea uvivu

23w ago

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki Mbishi ameonyesha kukerwa aina fulani ya uulizaji maswali ka...

Baba Diamond Amsamehe Mwanae Queen Darleen

23w ago

BABA mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Abdul Juma a...

Daimond Kiboko Aamua Kumwaga Ukweli Wote...... Hivi Ndivyo Alivyothibitisha Kumnunulia Mjengo Hamisa Mobetto

23w ago

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amethibitisha tetesi zilizokuwa zinasambaa mtandaoni k...

Zawadi ya Iddy Yamlainisha Baba Daimond....... Aamua Kumsamehe Queen Darleen

23w ago

BABA mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Abdul Juma amedaiw...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek