Mama Mobetto Aiomba Msamaha Familia ya Daimond " Mmenitukania Mwanangu Hadi Tumbo la Uzazi Linaniuma"

By Udaku Specially, 24w ago

Baada ya Matusi yanayoendelea mitandaoni kwa Hamisa Mobeto Kutoka katika familia ya Daimond na team Zari baada ya Daimond kurudiana na mzazi mwenzake Zari, Mama Mzazi wa mwanamitindo Hamisa Mobeto ameingilia kati ugomvi huo wa chini kwa chini unaoendelea mitandani kwa kumuombea mwanaye Msamaa.Mama Mzazi wa Hamissa ameonekana kuumizwa na matusi na maneno anayotumiwa mwanaye na kuamua kuonyesha hisia zake kupitia ukurasa wake wa istargram kwa kuandika hivi;-" Mmenitukania mwanangu hadi tumbo la uzazi limeniuma natamani ningewazaa wawili ili afarijiwe na mwenzie, pia ningeomba familia ya zote zil...

ZINAZOENDANA

Irene Apata Kigugumizi Baada ya Kusikia Zari Karudiana na Diamond.

23w ago

Mwanadada irene ambae alijiatia umaarufu baada ya kupata skendo ya kutembea na msanii wa muziki Diamo...

Daimond Kiboko Aamua Kumwaga Ukweli Wote...... Hivi Ndivyo Alivyothibitisha Kumnunulia Mjengo Hamisa Mobetto

23w ago

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amethibitisha tetesi zilizokuwa zinasambaa mtandaoni k...

Zari Atoa Ruhusa ya Hamisa Kuzaa Hata Watoto Kumi.

23w ago

Mwanamama Zari the Bossy amemwaga povu lake huko katika ukurasa wake wa instagram baaada ya moja ya m...

Diamond Athibitisha Kumnunulia Mjengo Hamisa

23w ago

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amethibitisha tetesi zilizokuwa zinasambaa mtandaoni k...

Diamond Athibitisha Kumnunulia Mjengo Hamisa

23w ago

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amethibitisha tetesi zilizokuwa zinasambaa mtandaoni k...

Zari Amwaga Povu Kuhusu Suala la Umri Kwenye Mapenzi

23w ago

Mfanyabiashara maarufu na mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Zari The Bosslady ame...

Ushamba na Ulimbukeni wa watanzania kuhusu Zari na Hamisa Mobetto

23w ago

Watanzania wengi washamba sana.. Baba Nyerere angefufuka leo nadhani angewatia mboko asilimia 80 ya w...

Wimbo wa Iyena Umechangia Asilimia 98 Kumrudisha Zari Kwa Diamond....Soma Hapa

23w ago

MWENYE nyumba kafufuka na nyumba ya mirathi haiuzwi tena, pole Hamisa Mobeto! Waswahili bhana, wao wa...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek