Ajali ya Treni na Basi yaua watu 10 Kigoma, Zitto Kabwe achukua maamuzi haya

By Bongo 5, 24w ago

Watu 10 wamefariki dunia papo hapo na wengine 26 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wanasafiria kugonga Treni la mizigo. Kamanda wa polisi mkoani Kigoma, Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo amesema ajali hiyo imehusisha Basi la kampuni ya HAMIDA lililokuwa likisafiri kutoka Kigoma kwenda Nzega, Tabora kugonga treni ya mizigo leo Juni 6 […] The post Ajali ya Treni na Basi yaua watu 10 Kigoma, Zitto Kabwe achukua maamuzi haya appeared first on Bongo5.com.

ZINAZOENDANA

Majaliwa - 'Viongozi wa dini msikubali kutumiwa'

23w ago

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi wasikubali kuchonganishwa. Alisema Serikali haiongozw...

Diwani afa ajalini msafara wa UVCCM

23w ago

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha msafara wa mwenyekiti...

'Viongozi wa dini msikubali kutumiwa'

23w ago

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi wasikubali kuchonganishwa.

Diwani afa ajalini msafara wa UVCCM

23w ago

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha msafara wa mwenyekiti...

WATANZANIA TUSIKUBALI KUCHONGANISHWA-MAJALIWA

23w ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kuchonganishwa na kwamba Serikali haion...

Msafara wa mwenyekiti UVCCM wapata ajali

23w ago

Msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James,  umepata ajali wilayani Meatu baada ya gari l...

Waziri Mkuu: Watanzania Tusikubali Kuchonganishwa-majaliwa

23w ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kuchonganishwa na kwamba Serikali haiongo...

Msafara wa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM-Taifa(UVCCM) Wapata Ajali

23w ago

SIMIYU: Msafara wa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM-Taifa(UVCCM), Kheri D. James wapata ajali wilaya...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek