'€œUDF ni zaidi ya vyama vya siasa'€ - Zitto

By Udaku Specially, 24w ago

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe Akizungumzia ushirikiano huo wa kidemokrasia (DeFront), Zitto anasema hilo ni vuguvugu litakalohusisha si vyama vya siasa tu, bali makundi mbalimbali katika jamii.Akizungumza na eatv.tv Zitto amefunguka kuwa Chama cha ACT Wazalendo Katika kikao chake cha Kamati Kuu cha Januari Mwaka 2018 kiliazimia kuwa ni muhimu kujenga mashirikiano na vyama vingine na makundi mengine ya kijamii.'€œTunataka kujenga 'The Democratic Front' kwa kuhusisha wana Demokrasia nchini kwa madhumuni ya  kutetea, kuimarisha na kulinda demokrasia yetu ya...

ZINAZOENDANA

Miaka 26 ya Chama cha Wananchi - CUF (2)

23w ago

Julius Mtatiro – Gazeti la Mwananchi Sunday, June 10, 2018 Jumapili iliyopita tuliona jinsi Cha...

Kwanini Lipumba hakubaliki Tabora sawa na Shein Mkanyageni

23w ago

Elbattawi Jumamosi, Juni 9, 2018 DK Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyeykiti wa Baraza la M...

Sakata la Trillion 1.5, Serikali yafunguka Zilipo Billion 204 Sehemu ya Hela Hizo

23w ago

SAKATA LA TRILIONI 1.5, Serikali yafunguka kuhusu Tsh. Bilioni 204 ambazo ni sehemu ya sakata la Tsh....

Wasira Amtaka Zitto Kabwe Aipumzishe CCM

23w ago

Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira amemtaka Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Ka...

Polepole Aisifu Barua ya Maaskofu, Serikali Yaikana

23w ago

Wakati Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiisifu barua waliyoandikiwa Kanisa la ...

Zitto Kabwe, Polepole, Dr Mashinji Wafunguka Mazito Sakata la Waraka KKKT

23w ago

Lile sakata la serikali kuliandikia barua Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, (KKKT) limezua mjadala kwe...

Zitto Kabwe, Polepole, Dr Mashinji Wafunguka Mazito Sakata la Waraka KKKT

23w ago

Lile sakata la serikali kuliandikia barua Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, (KKKT) limezua mjadala kwe...

'€œUDF ni zaidi ya vyama vya siasa'€ - Zitto

24w ago

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe Akizungumzia ushirikiano huo wa kidemokrasia (DeFront...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek