Wakata utepe Kombe la Dunia

By Mwananchi, 24w ago

JAFARI JUMA WENYEJI Russia na Saudi Arabia watakata utepe kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazoanza rasmi Alhamisi ijayo. Kinachosubiriwa ni kuona ni mchezaji gani atakuwa wa kwanza kufunga kwenye fainali hizi za Russia, atakuwa wa timu wenyeji au atakuwa wa Saudia? Makala haya yanakuletea wachezaji wote waliofunga mabao ya kwanza katika fainali zote za Kombe la Dunia tangu zilipoanza mwaka 1930. Lucien Laurent, Ufaransa (1930) Hili ndilo bao la kwanza kufungwa kwenye historia ya fainali za Kombe la Dunia. Kwenye mechi hii ya ufunguzi ya Kombe la Dunia 1930, Ufaransa iliifunga Mexico...

ZINAZOENDANA

DStv mambo ni Motoo, Wateja wake kupata Burudani kabambe Kipindi cha Kombe la Dunia

23w ago

Zikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea katika mashindano ya FIFA Kombe La Dunia 2018 nchini Urussi. DStv...

DStv Ni Motoo

Hukukwetu mambo niMotoooo! Zikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea katika mashindano ya FIFA Kombe La ...

DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo!

23w ago

Zikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea katika mashindano ya FIFA Kombe La Dunia 2018 nchini Urussi. DStv...

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2018 DStv NI MOTOO

Huku kwetu mambo ni Motoooo! Zikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea katika mashindano ya FIFA Kombe La D...

Afueni kwa Misri baada ya Salah kuanza mazoezi

23w ago

Bara la Afrika lina nchi tano zinazoshiriki kipute cha Kombe la Dunia , makala ya 21, nchini Urusi mw...

Messi: Kombe la Dunia litaamua hatma yangu Argentina

23w ago

Mara ya mwisho Argentina kutwaa Kombe la Dunia ilikuwa 1986 nchini Mexico

Neymar, Brazil watua kibabe Russia

23w ago

Brazil ndiyo nchi pekee iliyotwaa Kombe la Dunia mara tano tangu kuanzishwa kwake 1930

Trump na Kim Jong-un wawasili Singapore

23w ago

Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa aj...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek