Mama Mobeto Aoga Mvua ya Matusi Mitandaoni Ageuka Mbogo

By Udaku Specially, 24w ago

DAR ES SALAAM: Pale mtu mzima anapoingilia mambo ya watoto kisha akatolewa nishai, ni heri akajifunza kujipanga kuliko kuzidi kupoteza netiweki.Hicho ndicho kilichompata mama mzazi wa mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto 'Tununu', Shufaa Rutiginga 'Mama Mobeto' baada ya kuingilia mambo ya watoto mitandaoni kisha kuoga matusi na kujikuta akigeuka mbogo kwa wanahabari.Baada ya Mobeto kuingia kwenye mgogoro mzito na familia ya baba mtoto wake, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' alidaiwa kumwagwa na jamaa huyo kisha kuandikwa vibaya kwenye mitandao ya kijam...

ZINAZOENDANA

Alichosema Mkubwa Fella Baada ya Aslay Kuachana na Mzazi Mwenzie "Nasubiri Nipigiwe Simu na Wahusika Niweze Kusuruhisa"

23w ago

Mkurugenzi wa kundi la Yamoto Band na Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella ameshtushwa na taarifa...

Nikki Mbishi Awatolea Povu Watangazaji Wanaouliza Kuhusu Alikiba na Daimond

23w ago

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki Mbishi ameonyesha kukerwa aina fulani ya uulizaji maswali ka...

GNB:Je, wewe hutumia muda gani kwenye mitandao ya kijamii kwa siku moja?

23w ago

Nyota wa nyimbo za pop Lily Allen , amekiri kutumia takriban saa tano kwenye mtandao wa twitter kwa s...

Mkubwa Fella ashtushwa na taarifa za Aslay kuachana na mkewe 'mtoto kakua, sijapata taarifa' (+video)

23w ago

Mkurugenzi wa kundi la Yamoto Band na Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella ameshtushwa na taarifa...

Irene Apata Kigugumizi Baada ya Kusikia Zari Karudiana na Diamond.

23w ago

Mwanadada irene ambae alijiatia umaarufu baada ya kupata skendo ya kutembea na msanii wa muziki Diamo...

Watangazaji kupenda kuuliza kuhusu Diamond na Alikiba, Nikki Mbishi awatolea uvivu

23w ago

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki Mbishi ameonyesha kukerwa aina fulani ya uulizaji maswali ka...

Balozi Seif afanya ziara kijiji cha Bubujiko

23w ago

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekusudia kuwapunguzia gharama za ujenzi wa Mtaro wa Maji ya Mvua ...

Balozi Seif afanya ziara kijiji cha Bubujiko

23w ago

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekusudia kuwapunguzia gharama za ujenzi wa Mtaro wa Maji ya Mvua ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek