Wasira Amtaka Zitto Kabwe Aipumzishe CCM

By Udaku Specially, 32w ago

Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira amemtaka Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) kuipumzisha Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ukurasa wake wa 'twitter' kuhusiana na mjadala wa Maaskofu wa KKKT.Wasira akizungumza na eatv.tv amefunguka kuwa Chama cha Mapinduzi ni wanachama na vikao na hakuna kikao chochote kilichokaa kujadili waraka huo wa maaskofu na kumtaka Zitto asiwatuhumu kwenye mitandao ya kijamii.'€œZitto anaihusisha CCM kwenye vitu ambavyo hatujajadili tukiwa kama chama kwani tuna vikao vyetu halali na huwa taarifa inatolewa lakini...

ZINAZOENDANA

GNB:Je, wewe hutumia muda gani kwenye mitandao ya kijamii kwa siku moja?

32w ago

Nyota wa nyimbo za pop Lily Allen , amekiri kutumia takriban saa tano kwenye mtandao wa twitter kwa s...

MABULA AMTEMBELEA KATIBU WA CCM RUVUMA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akizungumza mbele ya Katibu wa Ch...

Diwani afa ajalini msafara wa UVCCM

32w ago

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha msafara wa mwenyekiti...

Harmonize Athibitisha Kuwa '€œSinge Boy'

32w ago

Baada ya kuwa na mikwaruzano na kufikia mwanadada Sarah ambae ndie mpenzi wake na harmonize kuandika ...

Penzi la Harmonize na Sarah Linapumulia Mashine

32w ago

Penzi la staa wa Bongo fleva kutoka WCB Harmonize na mpenzi wake mzungu Sarah limedaiwa kuwa linapumu...

DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akizungumza na viongozi wa CCM na wa Jumu...

Ali Kiba Ampeleka Mzazi Mwenzake Mahakamani Akidai Kudhalilishwa

32w ago

Staa wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba anadaiwa kumburuza mzazi mwenzake mahakamani na kumtuhumu kwa ...

Diwani afa ajalini msafara wa UVCCM

32w ago

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha msafara wa mwenyekiti...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek