LUKUVI AOKOA MABILIONI MPAKA WA TANZANIA NA KENYA

By Issa Michuzi, 32w ago

Na. Hassan Mabuye, Wizara ya Ardhi.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameokoa takriban shilingi bilioni 16 za upimaji wa mpaka kati ya Tanzania na Kenya mara baada kuanza kazi ya upimaji wa mpaka huo wenye urefu wa jumla za kilomita 760 za nchi kavu.Akiongea jana wakati akikagua kazi ya uwekaji wa alama mpya za mipaka iliyowekwa katika wilaya ya Tarime mkoani Mara Waziri Lukuvi amesema hapo awali wataalamu wa upimaji wa mpaka huo waliandaa makisio ya bajeti ya kiasi cha shilingi bilioni 22 ambapo mara baada kuanza kwa zoezi hilo amegundua kwamba zoezi hilo litag...

ZINAZOENDANA

Lechantre kuwafanyia 'surprise' mastaa Simba

32w ago

Kocha wa Simba Mfaransa Pierre Lechantre ambaye aliwaacha wachezaji wake katika mashindano ya SportPe...

Watanzania 112 wadaiwa kushikiliwa Mombasa Kenya

32w ago

WATANZANIA 112 wa kijiji cha Jasini, kata ya Mayomboni wilayani Mkinga wanadaiwa kukamatwa na kusafir...

Wanyama apanga kurudi Tz kutazama Kagame Cup

32w ago

NAHODHA wa Kenya na kiungo fundi wa Tottenham Hotspurs amepanga kurejea tena nchini wiki mbili zijazo...

Mwanaume aishitaki Hospitali kwa kutumia sehemu zake za siri

32w ago

Mwanaume mmoja nchini Kenya ameishtaki hospitali ya Agha Khan kwa kutumia nyeti zake kuwafundishia...

Kijana Nchini Kenya Aishtaki Hospitali kwa Kutumia Nyeti Zake Kinyume na Matwakwa Yake

32w ago

Mwanaume mmoja nchini Kenya ameishtaki hospitali ya Agha Khan kwa kutumia nyeti zake kuwafundishia wa...

Kijana Nchini Kenya Aishtaki Hospitali kwa Kutumia Nyeti Zake Kinyume na Matwakwa Yake

32w ago

Mwanaume mmoja nchini Kenya ameishtaki hospitali ya Agha Khan kwa kutumia nyeti zake kuwafundishia wa...

Safari ya Simba kwenda England yaishia Kenya

32w ago

Safari ya Simba kwenda England kucheza na Everton imeishia Kenya, baada ya kufungwa na Gor Mahia kati...

Amber Lulu Aamua Kutoa Mimba ya Prezzo

32w ago

KAMA mjuavyo siku zote kwamba ili ubuyu unoge ni vizuri tuumung'unye tukiwa wengi, peke yako h...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek