USAID YAPONGEZA MCHANGO WA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII-TASAF KATIKA KUBORESHA MAISHA YA WANANCHI.

By Issa Michuzi, 26w ago

Na. Estom Sanga-TASAF Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa -USAID, Andy Karas amefanya ziara katika mkoa wa Kagera na kukagua shughuli zinazofanywa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF na kuridhishwa na maendeleo yaliyofikiwa katika utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini mkoani humo.Akiwa katika kijiji cha Mishenyi kata ya Butelankuzi wilaya ya Bukoba Vijijini ,Mkurugenzi Mkazi huyo wa USAID alitembelea Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini ambako alijionea namna Walengwa hao walivyoboresha makazi yao kwa kujenga nyumba bora kwa kutumia ruzuku i...

ZINAZOENDANA

Trump na Kim Jong-un wawasili Singapore

26w ago

Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa aj...

Huyu Hapa Muuza Madawa ya Kulevya Aliyependwa na Wananchi Mpaka Kupewa Jina la Yesu na Mlinzi wa Amani

26w ago

TAJIRI WA UNGA AKAWA MWEMA MPAKA AKAITWA YESUChristopher Coke a.k.a Dudus, ni tajiri wa dawa za kulev...

Trump na Kim Jong-un Tayari Wawasili Singapore kwa Mkutano wa Kihistoria

26w ago

Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa aj...

Tuliwapa Hasheem Thabeet, wanatupatia Nba Africa Game

26w ago

Jioni moja tulivu ya Alhamisi ya Juni 25, 2009 Watanzania tuliungana kwa lugha moja kusimama na kuish...

USAID YAPONGEZA MCHANGO WA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII-TASAF KATIKA KUBORESHA MAISHA YA WANANCHI.

26w ago

Na. Estom Sanga-TASAF Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa -USAID,...

Marekani na Canada zalaumiana baada ya mkutano wa G7

26w ago

Nchi ya Marekani inailaumu Canada kutokana na kumalizika vibaya kwa mkutano wa viongozi wa mataifa sa...

Ongezeko la ushuru laibua vita

26w ago

Marekani iliongeza ushuru kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka Canada, Mexico na Umoja wa Ulay...

Trump na Kim kukutana Jumanne hii Sentosa

26w ago

Zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa mkutano wa kihistoria kati ya rais wa Marekani Donald Tru...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek