MWENYEKITI wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib azikwa Bagamoyo

By Issa Michuzi, 32w ago

 MWENYEKITI wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (67) amezikwa jana jumapili kwenye makaburi ya Mwanakerenge mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani. Katika mazishi hayo yaliyowakusanya wasanii, wanamichezo na waandishi wa habari familia ya marehemu iliwaomba waombolezaji waendeleze mshikamano aliouacha marehemu Taalib.Kaimu Mwenyekiti wa SHIWATA, Deo Kway alisema wataendeleza juhudi za marehemu kuwaunganisha wasanii na wanamichezo kujikomboa kiuchumi.Kway alisema wakati wa uhai wake marehemu Taalib aliwaunganisha wasanii mbalimbali na kuunda SHIWATA ambayo imefanikiwa kujenga...

ZINAZOENDANA

MWENYEKITI wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib azikwa Bagamoyo

32w ago

 MWENYEKITI wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (67) amezikwa jana jumapili k...

MWENYEKITI wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib azikwa Bagamoyo

32w ago

 MWENYEKITI wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (67) amezikwa jana jumapili k...

Pacha wa Bukoba kutenganishwa Saudi Arabia

32w ago

SERIKALI ya Saudi Arabia imesema itagharamia matibabu nchini humo kutenganisha pacha walioungana, Ani...

Pacha wa Bukoba kutenganishwa Saudi Arabia

32w ago

Serikali  ya Saudi Arabia imesema itagharamia matibabu nchini humo kutenganisha pacha walioungan...

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MLOGANZILA

32w ago

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema ufumbuzi umepatika...

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS KAMPASI YA MLOGANZILA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa ...

Madaktari Wasema Puto Lililo Tumboni Mwa Kigogo wa Escrow Limeisha Muda Wake na Linatakiwa Kutolewa

33w ago

Jopo la madaktari lililomfanyia uchunguzi, Mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Habinder Seth, ...

Madaktari Wasema Puto la Seth Limeisha Muda Linatakiwa Kuondolewa

33w ago

Jopo la madaktari lililomfanyia uchunguzi, Mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Habinder Seth, ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek