Balozi Seif afanya ziara kijiji cha Bubujiko

By Issa Michuzi, 23w ago

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekusudia kuwapunguzia gharama za ujenzi wa Mtaro wa Maji ya Mvua Wananchi wa Kijiji cha Bubujiko waliojitolea kuanzisha Mradi huo kwa lengo la kujiepusha na Mafuriko yanayosababishwa na mkusanyiko wa maji mengi yanayoleta maafa wakati wa mvua za Masika.Kauli hiyo imetolewa na Makamuwa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akizungumza na Wananchi wa Bubujiko mara baada ya ziara fupi ya kukagua hatua za ujenzi wa Mtaro huo uliosimamiwa na Wananchi wenyewe na kuungwa mkono na Uongozi wa Mkoa na Wilaya pamoja na washirika wa maendeleo.Balozi Seif ...

ZINAZOENDANA

Kubenea Amwomba Rais Magufuli Kumuwajibisha Jaiji Mutungi "Huyu Mutungi ni Hatari Apaswi Kuachwa Amepoteza Sifa"

23w ago

Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amemuomba Rais John Magufuli kumuwajibisha Msajili wa Vyama ...

Pingamizi la Mbowe na Viongozi Chadema Latupiliwa Mbali Mahakamani

23w ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali pingamizi la viongozi wa CHADEMA akiwemo Freeman Mb...

Viongozi Pwani waendelea 'kumfagilia' Ruto

23w ago

Naibu Rais William Ruto amesisitiza kuwa ataendelea kufanya kazi na viongozi wa Pwani kwa ajili ya ma...

Hakimu Atupilia mbali pingamizi la Mbowe na Wenzake

23w ago

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri ametupilia mbali pingamizi la viongozi wa Chadem...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MASUALA YA JINSIA NA MAHAKAMA AFRIKA

23w ago

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye kwenye Ki...

Balozi Seif awataka wanaojiweza kuwasaidia wenzao

23w ago

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Taasisi, Mashirika na Watu wen...

Trump na Kim Jong-un wawasili Singapore

23w ago

Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa aj...

Fundi adai Sh195m za 'kiti cha Rais'

23w ago

Serikali huenda ikalipa mamilioni ya pesa kusuluhisha nje ya mahakama kesi kuhusu kiti kilichokaliwa ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek