Nikki Mbishi Awatolea Povu Watangazaji Wanaouliza Kuhusu Alikiba na Daimond

By Udaku Specially, 23w ago

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki Mbishi ameonyesha kukerwa aina fulani ya uulizaji maswali katika interview.Nikki Mbishi amesema katika interview maswali kuhusu Diamond na Alikiba ndio hushamiri ila anachojivunia ni kwamba na yeye uhoji pia. Kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika;Kila interview wanauliza '€œUna mpango wowote wa kufanya ngoma na Ali Kiba au Diamond?'€ Hapo basi mtangazaji ndio anajiona kamaliza mwenyewe...#UFALAWakiitwa wengine interviews wanahojiwa ila nikiitwa mimi nawahoji wao ndio maana wanakuwa mabubu nikitimba....I'm proud of it. Great m...

ZINAZOENDANA

Alichosema Mkubwa Fella Baada ya Aslay Kuachana na Mzazi Mwenzie "Nasubiri Nipigiwe Simu na Wahusika Niweze Kusuruhisa"

23w ago

Mkurugenzi wa kundi la Yamoto Band na Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella ameshtushwa na taarifa...

Nikki Mbishi Awatolea Povu Watangazaji Wanaouliza Kuhusu Alikiba na Daimond

23w ago

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki Mbishi ameonyesha kukerwa aina fulani ya uulizaji maswali ka...

Video: Alikiba aeleza machungu yake kwa Yanga, aipongeza Simba kwa hili

23w ago

Msanii Alikiba amefunguka kuhusu machungu yake kwaklabu yake anayoshabikia ya Yanga na kuongeza kwa k...

Mkubwa Fella ashtushwa na taarifa za Aslay kuachana na mkewe 'mtoto kakua, sijapata taarifa' (+video)

23w ago

Mkurugenzi wa kundi la Yamoto Band na Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella ameshtushwa na taarifa...

Irene Apata Kigugumizi Baada ya Kusikia Zari Karudiana na Diamond.

23w ago

Mwanadada irene ambae alijiatia umaarufu baada ya kupata skendo ya kutembea na msanii wa muziki Diamo...

Watangazaji kupenda kuuliza kuhusu Diamond na Alikiba, Nikki Mbishi awatolea uvivu

23w ago

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki Mbishi ameonyesha kukerwa aina fulani ya uulizaji maswali ka...

Jitihada za Samatta na Alikiba zinapaswa kuungwa mkono

23w ago

Waliguswa na kuamua kuhamasisha kuchangia sekta ya elimu

Video Mpya kutoka kwa msanii wa Dk. Shika, Itazame hapa

23w ago

Msanii muziki Bongo, Godson ambaye anasimamiwa na Dk. Shika ameachia video ya wimbo wake mpya ‘...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek