Pingamizi la Mbowe na Viongozi Chadema Latupiliwa Mbali Mahakamani

By Udaku Specially, 23w ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali pingamizi la viongozi wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe la kutaka kesi ya kufanya maandamano ifutwe badala yake imeagiza hati ya mashtaka ibadilishwe.Hata hivyo, upande wa utetezi kupitia wakili wa Peter Kibatala, umetangaza nia ya kukata rufaa kupinga uamuzi huo.Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ambapo amesema anakubaliana na hoja 2 za upande wa mashtaka kati ya hoja zao 8 za pingamizi.Katika kesi hiyo pingamizi kuu la upande wa utetezi wameiomba mahakama hiyo ifute kesi hiyo kwa sababu baadhi ya mashtaka ni batili.Kat...

ZINAZOENDANA

Pingamizi la Mbowe na Viongozi Chadema Latupiliwa Mbali Mahakamani

23w ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali pingamizi la viongozi wa CHADEMA akiwemo Freeman Mb...

Hakimu Atupilia mbali pingamizi la Mbowe na Wenzake

23w ago

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri ametupilia mbali pingamizi la viongozi wa Chadem...

Balozi Seif awataka wanaojiweza kuwasaidia wenzao

23w ago

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Taasisi, Mashirika na Watu wen...

Kaskazini Unguja yampa hongera Dkt. Shein

23w ago

Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wamempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindu...

Balozi Seif afanya ziara kijiji cha Bubujiko

23w ago

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekusudia kuwapunguzia gharama za ujenzi wa Mtaro wa Maji ya Mvua ...

Balozi Seif afanya ziara kijiji cha Bubujiko

23w ago

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekusudia kuwapunguzia gharama za ujenzi wa Mtaro wa Maji ya Mvua ...

RAIS DK.SHEIN AFUTARISHA MKOA KASKAZINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuik...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek