Mwakyembe Aipa Yanga Miezi Miwili Kukamilisha Uchaguzi

By Udaku Specially, 32w ago

Baada ya klabu ya Yanga kufanya mkutano wake mkuu wa mwaka hapo jana na kufanikiwa kuteua kamati ya kuivusha timu kwenye kipindi cha mpito, timu hiyo imepewa miezi miwili na Waziri Mwakyembe ili ikamilishe uchaguzi wake.Waziri Mwakyembe ambaye ndiye mwenye dhamana ya Michezo nchini, amewataka viongozi wa Yanga kuziba nafasi zilizowazi ndani ya timu hiyo ili kuhakikisha Katiba ya timu inaendekea kulingwa na kufuatwa vizuri.'Najua uchaguzi mkuu wa klabu yenu ni 2020 lakini kuna nafasi ambazo zinatakiwa kujazwa hivyo mapengo hayo yazibwe ndani ya miezi miwili sitaki kuona inachukua miezi 9 au mwa...

ZINAZOENDANA

Mwakyembe Aipa Yanga Miezi Miwili Kukamilisha Uchaguzi

32w ago

Baada ya klabu ya Yanga kufanya mkutano wake mkuu wa mwaka hapo jana na kufanikiwa kuteua kamati ya k...

Video: Alikiba aeleza machungu yake kwa Yanga, aipongeza Simba kwa hili

32w ago

Msanii Alikiba amefunguka kuhusu machungu yake kwaklabu yake anayoshabikia ya Yanga na kuongeza kwa k...

Mwakyembe aipa mamlaka BMT kusimamia mchezo wa kuogelea

32w ago

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akisisitiza jambo wa...

MWAKYEMBE AIPA MAMLAKA BMT KUSIMAMIA MCHEZO WA KUOGELEA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akisisitiza jambo wa...

Wanyama apanga kurudi Tz kutazama Kagame Cup

32w ago

NAHODHA wa Kenya na kiungo fundi wa Tottenham Hotspurs amepanga kurejea tena nchini wiki mbili zijazo...

VIDEO: Mambo matano yaliyojiri mkutano Yanga

32w ago

Timu hiyo kwa sasa inaongozwa na makamu mwenyekiti baada ya mwenyekiti wake kujiuzuru

Kumbe ishu ni Manji

32w ago

Hilo ndilo jina lililotumika kufungia Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika jana baada ya wanachama 1,445...

Steve Nyerere Aonyesha Hisia Zake Juu ya Kamati Mpya Yanga "Tunataka Pesa Sio Maneno"

32w ago

Msanii wa filamu ambaye pia ni mwanachama wa Yanga, Steve Nyerere Jumapili hii ameibuka na kueleza hi...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek