Masogange aagwa rasmi,Asafirishwa kwenda Mbeya kwa maziko

Channel 10
39w ago

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ali Salum Happy, leo aemwaongoza waombelezaji, wakiwemo wasanii wa maigiz...

Habari za Biashara 17.05.2018

35w ago

Share on: WhatsApp The post Habari za Biashara 17.05.2018 appeared first on Channel Ten.

Mkutano kati ya Trump na Kim,Rais Trump naye aonyesha tahadhari

35w ago

Siku moja baada ya Korea Kaskazini kutangaza kuwa huenda ikahairisha mkutano wake ulipangwa kufanyika...

Marekani kujiondoa katika mkataba wa Iran,Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya laikosoa vikali

35w ago

Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Donald Tusk amemkosoa vikali Rais wa Marekani Donald Trump hapo jana...

Kura ya maoni Burundi,Hatimaye wananchi wapiga kura

35w ago

Burundi imepiga kura ya maoni inayopanga kuongeza muhula wa rais kutoka miaka tano hadi saba ambapo m...

Athari za mvua DSM,Nyumba 106 zaanguka Mbagala

35w ago

Nyumba zaidi ya 106 katika eneo la Mbagala kilungule katika halmashauri ya manispaa ya Temeke jijini ...

Ramadhani Kareem - Tuwe vipi Katika Ramadhani 16/05/2018

35w ago

Tuwe vipi Katika Ramadhani, Mada Hii imeletwa na Sheikh Abdallah Idd, Sheikh wa Wilaya ya Kigamboni &...

Habari za Biashara 16.05.2018

35w ago

Share on: WhatsApp The post Habari za Biashara 16.05.2018 appeared first on Channel Ten.

Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani,Wafanyabiashara watakiwa kutopandisha bei vyakula

35w ago

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein amewataka wafanyabiashara ...

Watumiaji wa usafiri wa UDART,Walazimika kulala barabarani

35w ago

Watumiaji wa usafiri wa mabasi yaendayo haraka DART jijini dsm wakiwa katika kituo cha kisutu jana ji...

TWIGA BANCORP kuunganisha na TPB,Benki mpya itaitwa TPB PLC

35w ago

Benki kuu ya Tanzania BOT imetangaza kuidhinisha ombi la kuunganisha benki za Twiga Bancorp na Benki ...

Habari za Biashara 15/05/2018

36w ago

Share on: WhatsApp The post Habari za Biashara 15/05/2018 appeared first on Channel Ten.

Sakata la mafuta ya kupikia,Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini

36w ago

Rais John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es salaam, na kuagiza...

Habariza Biashara 14.05.2017

36w ago

Share on: WhatsApp The post Habariza Biashara 14.05.2017 appeared first on Channel Ten.

Sakata la kuficha mafuta ya kula,Wafanyabiashara Ruvuma wakamatwa

36w ago

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewakamata na kuwaweka ndani wafanyabiashara watatu wanaouza...

Vyumba maalumu vya kuwahudumia wazee,Watendaji Afya wapewa changamoto

36w ago

Waziri wa Afya maendeleo ya jamii jinsia waee na watoto Ummy Mwalimu amewaagiza watendaji wa afya nch...

Uhusiano wa Tanzania na Israel,Ziara ya Waziri Mahiga Israel yawa ya mafanikio

36w ago

Ziara ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki ,kikanda na Kimataifa Dk.Augustine...

Mpalestina mmoja auawa,Katika maandamano yanayoendelea Gaza

36w ago

Madaktari wamesema vikosi vya usalama vya Israel vimemuuwa kwa kumpiga risasi muandamanaji mmoja huku...

Najib Razak,Ajiuzulu kama kiongozi wa muungano wa BN Malaysia

36w ago

Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia Najib Razak amejiuzulu kama kiongozi wa muungano wa vyama vya kisia...

Daraja lililosomba watu na mifugo,Serikali yachukua hatua kutathmini uharibifu

36w ago

Hatimaye Wakala wa barabara Mijini na Vijijini(TARURA),Halmashauri ya Wilaya ya Geita imeanza kuchuku...

Migogoro ya wachimbaji,Naibu waziri atoa agizo kwa Afisa Madini

36w ago

NAIBU Waziri wa Madini Dotto Biteko ametoa siku tano kwa Afisa wa Madini Mkoa wa Geita,Ali Said kuhak...

Utoroshaji mifugo nje ya nchi,Waziri Mpina azindua operesheni maalum '€ NZAGAMBA'€

36w ago

Waziri wa mifugo na uvuvi Luhaga Mpina amezindua rasmi operesheni maalum iliyopewa jina la “NZA...

Habari za Biashara 11/05/2018

36w ago

Share on: WhatsApp The post Habari za Biashara 11/05/2018 appeared first on Channel Ten.

Jeshi la polisi lawaaga wastaafu wake,Ni Kamishna Clodwig Mtweve pamoja na Kamishna Alice Mapunda

36w ago

Jeshi la Polisi nchini leo, limewaaga makamishna wake wawili ambao wamestaafu kwa mujibu wa sheria ba...

Chama cha mapinduzi CCM,M/kiti Dk John Pombe Magufuli atembelea ofisi ndogo ya Chama Lumumba

36w ago

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dk JOHN POMBE MAGUFULI leo ametembelea ofisi ndogo za chama hic...

Tuhuma za utapeli wa umeme,Zaidi ya vibanda vya biashara 37 soko la Mbagala vyaingia gizani

36w ago

Zaidi ya vibanda vya biashara 37 katika soko Mbagala rangi tatu vimeingia gizani baada ya kukatiwa um...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek