Kamati za bunge kuanza kazi Januari 15, 2018

Swahili Hub
5h ago

Shughuli za kamati za bunge la zitaanza sasa Januari 2017 baada ya Sikukuu ya Krismasi na sherehe za ...

Kamati za bunge kuanza kazi Januari 15, 2018

5h ago

Shughuli za kamati za bunge la zitaanza sasa Januari 2017 baada ya Sikukuu ya Krismasi na sherehe za ...

Kimeli Some apigiwa upatu kutwaa taji la Shenzhen Marathon

6h ago

Mkimbiaji Peter Kimeli Some kutoka Kenya anapigiwa upatu kutwaa taji la Shenzhen Marathon nchini Uchi...

Ruto awataka magavana kuwa waadilifu

6h ago

Kongamano la siku tatu la magavana lililoandaliwa katika kaunti ya Kwale limetamatika mnamo Jumamosi.

Halakhe Waqo aelezea vile mafisadi wa kaunti hukwepa kitanzi cha uwajibikaji

10h ago

Katibu wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi hapa nchini (EACC) Halakhe Dida Waqo amesema kuwa k...

Mswada tata wa ajira kaunti ya Kiambu wakosolewa na wasomi

12h ago

Mswada wa kaunti ya Kiambu wa kutaka kampuni, mashirika na taasisi zilizo katika kaunti hiyo kuajiri ...

Urithi yawapeleka wateja Pwani kuimarisha uhusiano, utalii

14h ago

Kuna haja ya Wakenya kuzingatia utalii wa nchi yetu kwa kuzuru maeneo mbalimbali nchini Kenya.

Tetemeko la ardhi Java lasababisha hofu kote Indonesia

14h ago

Watu wawili walifariki tetemeko la ardhi lilipokumba kisiwa cha Java nchini Indonesia, maafisa wamese...

Eric Johana ajiunga na IF Brommapojkarna ya Uswidi

15h ago

Kiungo Mkenya Eric Johana Omondi sasa ni mali ya klabu ya IF Brommapojkarna (BP) nchini Uswidi.

Manangoi, Hellen Obiri watawazwa wanariadha bora Kenya

16h ago

Mabingwa wa dunia Elijah Manangoi (mita 1,500) na Hellen Obiri (mita 5,000) walitawazwa wanariadha bo...

Mashabiki wa Uganda Cranes wamjia kocha meno juu

16h ago

Mashabiki wa Uganda Cranes wameanza kuitisha kutimuliwa kwa kocha Moses Basena baada ya timu yao kuba...

Ni marufuku kuvuta sigara hadharani kaunti ya Murang'a

16h ago

Ni hatia sasa kupatikana katika mipaka ya Kaunti ya Murang’a ukivuta sigara hadharani.

Serikali kutoa Sh40bn kuchochea ujenzi wa nyumba za makazi

17h ago

Serikali itatoa vishawishi vya thamani ya Sh40 bilioni kwa wawekezaji ambao watajiunga nayo kusaka su...

Mwanatenisi Changawa ashinda tuzo ya StarTimes/SJAK mwezi Novemba

17h ago

Mwanatenisi shupavu Ismael Changawa ndiye mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Kenya ya StarTimes/SJAK...

Kiunjuri aamini gharama ya maisha itapungua Januari

17h ago

Waziri wa Ugatuzi, Mwangi Kiunjuri anaamini gharama ya maisha hapa nchini itapungua kuanza Januari 20...

Mjeledi wa NTSA kuangukia usafiri wa umma msimu wa Krismasi

18h ago

Hakuna gari lolote la usafiri wa umma litakubaliwa kubeba abiria katika barabara ambazo hazijajumuish...

Zanzibar, Harambee Stars kushuka dimbani fainali ya Senior Challenge

19h ago

Zanzibar imetinga fainali ya mashindano ya Senior Challenge Cup baada ya kutupa nje mabingwa watetezi...

Mafuta: Mikakati ya serikali kuwafungia nje matapeli

19h ago

Serikali inapanga kuongeza ushuru wa mafuta taa mwaka 2018, kama njia ya kudhibiti wafanyabiashara la...

Waititu: Nasisitiza wenyeji Kiambu watengewe asilimia 70 ya nafasi za kazi

1d ago

Niite mkabila au jina lolote lingine unalotaka lakini ikiwa utanitusi au uniseme vibaya kwa kuongoza ...

Tumebaguliwa katika uteuzi wa wawakilishi katika bunge la EALA - vijana

1d ago

Muungano wa vijana hapa nchini (NYA) Ijumaa umeteta kuwa miungano mikuu ya kisiasa hapa nchini haina ...

Ofisi ya Rais kufanya kazi kwa karibu na mahakama

2d ago

Kuna haja ya taasisi huru kufanya kazi kwa karibu na serikali ya kitaifa ili kuafikia malengo ya Wake...

Harambee Starlets heko!

2d ago

Kenya imepaa nafasi sita juu katika viwango bora vya soka ya wanawake duniani vilivyotangazwa na Shir...

Upinzani Togo wamtaka Rais Faure Gnassingbe kukumbatia demokrasia

2d ago

Muungano wa vyama wa upinzani nchini Togo umewataka viongozi wa mataifa ya Afrika Magharibi kumshinik...

Jubilee wale mkate mzima - Wachira Kiago

2d ago

Mwenyekiti wa Baraza la Agikuyu, Wachira Kiagom, Alhamisi alishikilia kuwa Rais Uhuru Kenyatta kukumb...

Mwangi Kiunjuri asema ugatuzi ndio jibu la kupanua uchumi wa Kenya

2d ago

Waziri wa Ugatuzi, Mwangi Kiunjuri, amesema kuwa mfumo wa ugatuzi hapa nchini ukiratibiwa vizuri utas...

Mithika Linturi ni nani hasa?

2d ago

Kuna watu ambao wameshikilia kuwa kisiasam Seneta wa sasa wa Kaunti ya Meru, Mithika Linturi ni mwana...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek