Uwanja wa Ndege wa Singapore Changi watajwa kuwa uwanja bora duniani

Dewji Blog
5h ago

Tovuti ya utafiti wa anga ya Skytrax ya nchini Uingereza imetoa orodha ya viwanja vya ndege bora d...

Uwanja wa Ndege wa Singapore Changi watajwa kuwa uwanja bora duniani

5h ago

Tovuti ya utafiti wa anga ya Skytrax ya nchini Uingereza imetoa orodha ya viwanja vya ndege bora d...

Ukusanyaji mapato katika jiji la DSM waimarika

8h ago

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amesema ukusanyaji kodi katika jij...

Kesi ya CUF inayohoji uhalali wa bodi ya wadhamini ya Lipumba kusikilizwa Machi 27

8h ago

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga kusikiliza mashauri mawili Namba 557 na 558/2017 yaliyof...

TIRA yazifutia leseni kampuni nne za udalali na ushauri

22h ago

Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima nchini (TIRA) imefuta leseni za kampuni za udalali na ushaur...

Mo«t & Chandon yatambulisha champagne ya Mo«t Nectar Imperial

22h ago

Kampuni ya kutengeneza mvinyo ya Mo«t & Chandon imetambulisha bidhaa mpya ya kampuni hiyo ya...

Tanesco yakanusha kuwa na tatizo katika mfumo wa luku

1d ago

Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limekanusha taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa kut...

Prof. Lipumba ataka kuboreshwa kwa mazingira ya biashara nchini

1d ago

Baraza Kuu la Uongozi CUF, linalomuunga mkono Mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Ms...

Wafanyakazi NMB watoa msaada kufanikisha upasuaji wa wanawake saba waliopo CCBRT

1d ago

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Tanzania Kanda ya Mashariki wametoa msaada wa Sh. 13 milioni kwa Hospital...

Rais Magufuli amualika Netanyahu kutembelea Tanzania

1d ago

Rais Dkt. John Magufuli amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kutembelea Tanzania na k...

Mvua yasababisha kukatika kwa barabara ya Tabora - Itigi

1d ago

Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo katika eneo la Nyahua wilayani Uyui Mkoani Tabora imes...

Polisi watoa taarifa kuhusu afisa wa Ubalozi wa Syria kuporwa Euro 93,000, mmoja atiwa mbaroni

1d ago

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni linamtafuta dereva wa Ofisa Ubalozi wa Syria nchini, pamoj...

Waziri Ummy azungumzia ugonjwa wa Dengue, atoa tahadhari

1d ago

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amewashauri wananchi kw...

Kesi ya Nondo dhidi ya Serikali kusikilizwa Aprili 4

2d ago

Wakati Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania(TSNP), Abdul Nondo akifikishwa katika Mahakama ya ...

Polisi wazungumzia tukio la afisa wa ubalozi wa Syria kuibiwa Euro 93,000, mmoja atiwa mbaroni

2d ago

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni linamtafuta dereva wa Afisa wa Ubalozi wa Syria nchini,...

Kamati ya kitaifa ya UN na Serikali yakutana kupanga kazi za mradi wa Koica

2d ago

Kamati ya kitaifa inayoendesha mradi wa pamoja kati ya mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa (UNESCO, ...

Vijiji vitatu nchini vyawashiwa umeme

2d ago

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepewa heshima ya kuwasha umeme katika vijiji vitatu ...

Rais Magufuli aivunja Bodi ya Wakurugenzi ya NHC

2d ago

Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la...

Bilioni tano zatengwa kununua mashine ya kupima vipimo vya TB

2d ago

Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga shilingi bilioni 5 kwa ajili ya kununua mashine za kupima vi...

Makamu wa Rais aweka jiwe la msingi nyumba za Polisi Kisiwani Pemba

2d ago

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu  Hassan amemta...

Sekta ya Kilimo Iringa Kuchochea Ukuaji wa Viwanda

2d ago

Serikali yajidhatiti kuendeleza Kilimo katika Mkoa wa Iringa ili kuchochea ukuaji wa sekta ya Viwanda...

Mauzo ya hisa DSE yapanda na kufikia bilioni 5

3d ago

Mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam-DSE yamepanda kutoka Milioni 518 kwa wiki iliyoish...

Mama Samia awataka wananchi kushirikiana katika shughuli za maendeleo

3d ago

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa mkoa...

'€œHata Rais unaweza kushtakiwa kwa kukwepa kulipa kodi'€- Rais Magufuli

3d ago

Rais John Magufuli amewataka wafanyabiashara wanaodaiwa kodi miaka kadhaa iliyopita kufanya mazungumz...

TAWA yapongezwa kwa usimamizi mzuri wa mapori ya akiba

3d ago

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamaporri Tanzania (TAWA)...

Shindano la MO Margarine Star kutoa zawadi ya mil 4.2 kwa wanafunzi 10 nchini

3d ago

Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group) imeandaa shindano la kuimba wimbo wa MO...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek