Eric Bailly kuwa nje ya uwanja miezi mitatu

Mtembezi
3h ago

Beki wa Manchester United Eric Bailly atafanyiwa upasuajiwa kifundo cha mguu na kukaa nje miezi mitat...

Zanzibar : Tutaifunga Kenya hata kama ni wenyeji.

3h ago

Timu ya Zanzibar imeshangaza wengi kufuzu fainali ya mashindano ya kandanda ya kombe la Senior Challe...

Eric Bailly kuwa nje ya uwanja miezi mitatu

3h ago

Beki wa Manchester United Eric Bailly atafanyiwa upasuajiwa kifundo cha mguu na kukaa nje miezi mitat...

Baada ya kusoteshwa benchi sana..David Luiz aamua kumchana ‘live’ Conte

10h ago

KAMA mbwaimbwai, unaambiwa. David Luiz ameamua kumaliza utata baada ya kumfuata kocha wake huko Chels...

Lissu – Nimepona majeraha bado viungo

11h ago

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amesema majeraha yaliyotokana na risasi zilizoingia mwilini...

Lady Jay Dee na Spicy wagandana ndi ndi ndi..

12h ago

BAADA ya mwanadada ‘lejendari’ kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ ku...

Hatimaye Yanga waiiga Simba ..Waamua kufanya mabadiliko

13h ago

MABOSI wa Yanga wameanza mchakato wa muundo mpya wa uendeshaji wa klabu yao katika kuleta mabadiliko....

Aliyekuwa amefungwa kifungo cha maisha akiwa na miaka 12 afunguka

14h ago

PEKOS Mtalikidonga (55) mfungwa aliyekuwa na umri mdogo kuhukumiwa kunyongwa akiwa na wenzake wanne a...

Utamu wa ligi kuu warudi na mechi za kuanzia saa 8 mchana

15h ago

Huondo wa Ligi Kuu Bara utarejea Desemba 29 baada ya kusimama kwa wiki mbili kupisha mashindano yaKom...

Spika Ndugai – Bunge halijamtelekeza Lissu

16h ago

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema Bunge halijamtelekeza Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Ch...

Msekwa – Marudio ya uchaguzi ndio gharama ya demokrasia

17h ago

SPIKA mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa amesema chaguzi ndogo zinazotarajiwa kufanywa kujaza nafasi za wa...

Nauli mabasi ya kwenda mikoani zapanda kinyemela

17h ago

Nauli za mabasi yaendayo mikoani katika stendi kuu ya Ubungo zimebainika kupandishwa kinyemela tofaut...

Pitia vichwa vya habai katika magazeti ya leo Jumamosi ya 16/12/2017

18h ago

The post Pitia vichwa vya habai katika magazeti ya leo Jumamosi ya 16/12/2017 appeared first on Mtemb...

Zanzibar yatinga fainali kwa kishindo

1d ago

Zanzibar imezidi kuonyesha maajabu yake kwenye michuano ya CECAFA, baada ya leo kuwatoa mabingwa wate...

Pep Guardiola amkosoa Jose Mourinho

1d ago

Meneja huyo wa Manchester City amezipongeza Tottenham na Chelsea kwa “kutaka kucheza mpira̶...

Siku za Wenger ndani ya Arsenal zimeanza kuhesabika

1d ago

BEKI wa zamani wa Arsenal, Martin Keown amesema anaamini sasa siku za Arsene Wenger zimeanza kuhesabi...

Kesi ya Lema yazidi kupgwa kalenda

2d ago

KESI inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) ya madai uchochezi dhidi ya Rais Jo...

Aliyetumbuiza mbele ya Obama ala shavu kwenye albamu ya Diamond

2d ago

KUPITIA albamu yake ya kimataifa inayoitwa A Boy From Tandale, msanii Abdul Naseeb ‘Diamond Platnum...

Goli la Bale laipeleka Madrid Nusu fainali michuano ya Kombe la dunia kwa vilabu

2d ago

Real Madrid imeitungua mabao 2-1 klabu ya Al Jazira na bao la Greth Bale lilitosha kuipeleka timu yak...

Nusu fainali Cecafa :Zanzibar Heroes kuivaa Uganda “kininja”

2d ago

TUNASEMA ni mechi ya historia na kisasi, hayo ni maneno ya Kocha Mkuu wa timu ya Zanzibar (Zanzibar H...

Baada ya CHADEMA kususia uchaguzi mdogo,Prof Lipumba atangaza wagombea ubunge wa CUF majimbo matatu

2d ago

Chama cha Wananchi (CUF) upande unaomuunga mkono Mwenyekiti wa Taifa anayetambuliwa na Ofisi ya Msaji...

DPP atoa maelezo kesi ya Aveva na Kaburu

2d ago

UPANDE wa Jamhuri umepokea jalada kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya kesi ya utakatisha...

CHADEMA yawajia juu wabunge wanaohama upinzani na kujiunga na CCM

2d ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataka wanachama wake wanaoondoka na kujiunga na CCM ...

Pitia vichwa vya habari katika magazeti ya leo Ijumaa ya 15/12/2017

2d ago

The post Pitia vichwa vya habari katika magazeti ya leo Ijumaa ya 15/12/2017 appeared first on Mtembe...

Azam Fc yaiadhibu Mvuvumwa Fc

2d ago

Ikicheza kwa kujiamini na uelewano mkubwa usiku wa kuamkia leo, kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mas...

Jesus kusalia Manchester City hadi 2023

2d ago

Mchezaji huyo wa kimataifa Kibrazili amekuwa akichuana kwenye Ligi Kuu Uingereza tangu Januari, lakin...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek