Ujumbe wa Afrika Kusini wakutana na Rais Robert Mugabe

RFI Kiswahili
9w ago

Waziri wa ulinzi wa Afrika Kusini na Waziri wa Usalama wa Taifa, waliotumwa nchini Zimbabwe na Rais J...

Michezo ya Olimpiki: Korea ya Kaskazini kutuma ujumbe wa watu 550 Korea Kusini

7h ago

Korea Kaskazini imekubali kushiriki michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi katika mji wa Pyeongchang...

Morocco kutafuta ushindi wa pili michuano ya CHAN

12h ago

Morocco inarejea dimbani Jumatano usiku dhidi ya Guinea katika mchuano wake wa pili, kuwania taji la ...

Wakenya waendelea kusubiri matokeo ya mkutano wa NASA

14h ago

Viongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, hawajaweka wazi kile walichoafikiana baada ya kuk...

Macron: Tunaomba Uingereza kuwachukua baadhi ya wakimbizi

14h ago

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema hataruhusu tena kuja kwa wakimbizi katika eneo la Calais, am...

Afisa wa jeshi anaeshtmiwa kutaka kumuua rais Kabila akamatwa

15h ago

Aliyekuwa Mkuu wa majehsi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jenerali Faustin Munene ambaye amet...

Umoja wa Mataifa kuchunguza mauaji ya wakimbizi 39 kutoka Burundi

15h ago

Umoja wa Mataifa umesema utachunguza mazingira yaliyosababisha mauaji ya wakimbizi 39 kutoka Burundi ...

Boko Haram yaua watu tisa Nigeria

15h ago

Magaidi wa Boko Haram nchini Nigeria, wamewauwa watu tisa katika mashambulizi mawili yaliyotelezwa Ka...

Daktari wa Trump asema rais Trump hana matatizo ya kiakili

16h ago

Daktari wa rais wa Marekani Donald Trump amesema, kiongozi huyo ana afya njema na inatarajiwa kuwa at...

Marekani na washirika wake wakubaliana kuchukua hatua dhidi ya Korea Kaskazini

16h ago

Marekani na washirika wake wanasema kwa pamoja watachukua hatua kuzuia Korea Kaskazini kuendelea kute...

Trump aonya tishio la uhamiaji kwa usalama wa taifa

16h ago

Rais wa Marekani Donald Trump amesema mfumo wa sasa wa uhamiaji nchini humo, unahatarisha usalama wa ...

Marekani yasitisha msaada wa fedha kwa Palestina

16h ago

Marekani imesitisha msaada kwa taifa la Palestina unaokadiriwa kuwa sawa na zaidi ya nusu ya fedha za...

Utafiti: Wanawake kupata hedhi chini ya miaka 12 kunasababisha magonjwa ya moyo

1d ago

Utafiti mpya wa kitabibu uliochapishwa hii leo umeonesha kuwa wanawake ambao wanaanza kupata hedhi ka...

Human Right Watch yaishtumu Al Shabab kuajiri watoto Somalia

1d ago

Shirika la kimataifa la Haki za Binadamu la Human Right Watch, katika ripoti yake mpya, limeshtumu ku...

Bunge la Ulaya kujadili hali ya kisiasa nchini Kenya

2d ago

Bunge la Ulaya litajadili hali ya kisiasa nchini Kenya siku ya Jumanne, baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwa...

Papa Francis azuru Chile na Peru

2d ago

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameanza ziara yake nchini Chile lakini kuna wasiwasi wa kuto...

Burma na Bangladeshi wakubaliana kuwarejesha nyumbani Warohingya

2d ago

Burma na Bangladesh wamekubaliana kwamba kwa kipindi cha miaka miwili watakua wamewarejesha wakimbizi...

Rwanda yaitoa jasho Nigeria huku Libya ikianza vema

2d ago

Michuano ya kwanza ya kutamatisha makundi katika makala ya tano ya michuano ya CHAN kwa wachezaji wan...

Kenya Airways kuanza safari zake kwenda Marekani

2d ago

Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways, linatarajiwa kuanza safari zake za moja kwa moja kwenda Mar...

Donald Trump aendelea kujitetea kuhusu kauli yake bungeni

2d ago

Rais wa Marekani kwa mara nyingine, amesema alieleweka vibaya baada ya kutumia neno shimo la choo, ku...

Buhari aonya wanaochochea ghasia kati ya wakulima na wafugaji

2d ago

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameonya kuchukuliwa hatua kwa wanaochochea mapigano kati ya wafugaji...

Sheria mpya ya Museveni yaendelea kuzua utata Uganda

2d ago

Mawakili nchini Uganda, wamekwenda Mahakamani kupinga mabadiliko ya katiba yaliyofanyika mwaka uliopi...

Palestina: Tumeanzisha mchakato wa kutoitambua Israel

2d ago

Viongozi wa Palestina wamesema wanataka kutoitambua Israel. Hatua ambayo inakuja baada ya Marekani ku...

Uturuki yatuma askari wengi kwenye mpaka na Syria

2d ago

turuki imetuma wanajeshi zaidi katika mpaka wake na Syria, baada ya Marekani kupendeza kuwepo kwa kik...

Watu wasiopungua 20 wauawa katika mapigano Libya

2d ago

Mapigano makali yaliyozuka katika uwanja wa ndege jijini Tripoli jana kati ya waasi na jeshi la serik...

Zaidi ya watu 440 waachiwa huru baada ya maandamano Iran

2d ago

Mamlaka nchini Iran imewaachia huru watu zaidi ya 440 waliokamatwa katika mji wa Tehran wakati wa maa...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek