Baba Mzazi wa Agness Masogange Asimulia Alivyoagana na Mwanaye Muda Mfupi Kabla ya Mauti kumkuta

19m ago

Gerald Waya, ambaye ni baba mzazi wa Agnes (Masogange), amesema mwanaye alikuwa nguzo katika maisha y...

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa Familia ya Masogange

25m ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Msiba wa Masogange Wawakutanisha Diamond, Ali Kiba

27m ago

Wasanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Ali Kiba wamekutana katika msiba wa Agn...

DC KINONDONI AONGOZA MAMIA KUMUAGA MASOGANGE

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi, leo ameongoza wananchi wa Dar es Salaam wakiwemo wasanii walio...

Rais Magufuli aguswa na kifo cha Masogange

1h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Salamu za Rais Dkt Magufuli kwa familia ya Agnes Masogange

2h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kupitia kwa Mwenyekiti wa Umoja wa V...

KAIMU MURUGENZI MKUU NIDA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA MAENDELEO YA ZOEZI LA USAJILI NA UTAMBUZI WA WATU

Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Ndg. Albert Msovela akifungua kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama y...

Kashfa ya upotevu wa fedha Zimbabwe,Kamati ya Bunge yapanga kumuita aliyekuwa Rais Robert Mugabe kujibu

2h ago

Bunge nchini Zimbabwe limesema kuwa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele...

Usitishwaji wa majaribio ya makombora,Waziri mkuu wa Japan apongeza hatua ya Korea Kaskazini

2h ago

Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe amepongeza ahadi ya Korea kaskazini kusimamisha majaribio yake ya kin...

Diamond na Alikiba wazua gumzo kwenye tukio la kuuaga mwili wa Masogange (+video)

2h ago

Wasanii wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Alikiba na Diamond Platnumz leo Aprili 22, ...

Baba mzazi asimulia yaliyomkuta Masogange

2h ago

Waya amesema Masogange alipata matatizo hivyo akalazimika kuacha shule. Hata hivyo amesema hataki ...

Shein afurahia Egyptair kuanzisha safari

2h ago

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, ameipongeza azma ya Shirika la Ndege la Misri (Egyptair) ya k...

Vijana Waaswa Kulinda na Kudumisha Muungano

Frank Mvungi- MAELEZO,  Dodoma  Vijana Nchini wametakiwa kulinda na kudumisha Muungano kwa Vite...

Agizo la Waziri Kigwangalla kwa Askari kuhusu majangili

2h ago

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amesema kuwa, wakati wakijiandaa kuelekea kuwa ...

KAOLE SNAKE PARK YAIPIGA TAFU UMISETA NA UMITASHUMITA BAGAMOYO

3h ago

Mkurugenzi Mtendaji wa Kaole Snake Park, Kauthar Kihuhe(kushoto) akikabidhi msaada wa Jezi kwa Kaimu ...

BAADA YA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA KUKAMILIKA (NFRA) ITAKUWA NA UWEZO WA KUHIFADHI TANI 501,000

3h ago

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula (NFRA) Bi Vumilia L. Zikankuba akitoa ta...

Mauaji ya Akwilina: DPP afunga jalada la kesi, watuhumiwa waachiwa Huru

3h ago

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amesema, jalada la kesi ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo ...

TMA yasema mvua kupungua nchini

3h ago

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya mvua katika maeneo mengi ya nchi itapungua kua...

Bunge lishughulike na wajibu wake kwa CAG

3h ago

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bunge ndicho chombo chenye mamlaka ya kikati...

MASHINDANO YA OLIMPIKI 2020 NCHINI JAPAN KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA - DK. KIGWANGALLA

4h ago

Na Hamza Temba-Ngorongoro, ArushaMashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020 yatat...

Watu wengi wakiuaga Mwili wa Masogange, Angalia Hapa

4h ago

Mwili wa marehemu Agness Gerald 'Masogange' ukiwa Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaa...

Picha: Mwili wa Masogange ukitolewa Mochwari ukipelekwa Kuagwa

4h ago

Mwili wa marehemu Agness Gerald 'Masogange' umeshawekwa kwenye gari katika Hospitali ya ...

UJENZI WA DARAJA LA PANGANI HUKO KIBAHA KUGHARIMU MIL.100

4h ago

Sura ya kivuko cha miti kinachotumika kuvuka wakazi wa kata ya Pangani Wilaya ya Kibaha na Mpiji Mago...

SERIKALI INAFANYA TATHIMIN YA FIDIA ARIDHI NA MAENDELEZO YAKE MPAKA WA TANZANIA, KENYA

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Doroth Mwanyika ( wa tatu kutoka kush...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek